Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,247
- 8,682
Makonda alisema hayo akiwa Arusha akijibu tuhuma za Kumshambulia Lissu, alisema Lissu hata CCM huwa hawamwamini ndo maana Vikao uwa wanamshirikisha mbowe anatunza Siri na uwa anafika makubaliano vema na CCM si kama Lissu,
View: https://www.youtube.com/watch?v=vskxiEQ9IMc
Brunatnica
Hapa unapata majibu kamili kua.. wanataka mtu mwenye bei, na loyal kwao 📌