Makonda: Lissu ni mropokaji hata mazungumzo ya CCM na Upinzani tulimtumia sana Mbowe, anatunza siri

Makonda: Lissu ni mropokaji hata mazungumzo ya CCM na Upinzani tulimtumia sana Mbowe, anatunza siri

Makonda alisema hayo akiwa Arusha akijibu tuhuma za Kumshambulia Lissu, alisema Lissu hata CCM huwa hawamwamini ndo maana Vikao uwa wanamshirikisha mbowe anatunza Siri na uwa anafika makubaliano vema na CCM si kama Lissu,


Brunatnica
Hivi mropokaji kati ya hawa binadamu wawili ni nani!
 
Makonda alisema hayo akiwa Arusha akijibu tuhuma za Kumshambulia Lissu, alisema Lissu hata CCM huwa hawamwamini ndo maana Vikao uwa wanamshirikisha mbowe anatunza Siri na uwa anafika makubaliano vema na CCM si kama Lissu,


Brunatnica
Wataweweseka sana baada ya duka lao kudhibitiwa.
 
Anadai Makamu Heche kipenyo hilo nakataa Tarime haina mtu wa hivyo vuguvugu tena wa kuaminiwa kama yeye hapana kubwa Mkurya snitch hayupo
kataa ila jua tu ni kipenyo.

ipo siku mtaelewa tu.

waitara, Wenje ni wasukuma sio?

ubaya amuijui vyema siasa ya Tz.

unakumbuka ya Chacha Wa... unajua why walimuwahi?

ukimix file uamue moja kurudi Cc.. au kukimbilia nje kama akina Ansbert.

Gudibai
 
Makonda alisema hayo akiwa Arusha akijibu tuhuma za Kumshambulia Lissu, alisema Lissu hata CCM huwa hawamwamini ndo maana Vikao uwa wanamshirikisha mbowe anatunza Siri na uwa anafika makubaliano vema na CCM si kama Lissu,


Brunatnica
Ukiona adui anakusifia fahamu kabisa washakuweka mfukoni
 
Lissu domokaya,kwa tunaowajua watu wa singida hatushangai,lissu elimu haikumsaidia kuacha tabia za ovyo za kinyaturu na kinyiramba,hakuelimika bali kapata tu 'ufundi' wa Sheria na kiingereza
Kwa namna anavyo wanyoosha, hakika mtamchukia sana.
 
Waitara vipi?
Yule alishakuwa compromised toka kitambo inaeleweka kuna virusi vingi vilikuwa/vipo ingawa kwa sasa wamajaribu kuvidhibiti kwa kiwango kikubwa sana ila uongozi ule ulikuwa na mapandikizi mengi sana fikiria kina Katambi, Mashinji nk mapandikizi waliofika kwenye uongozi wa juu walitoka lakini bado chama kinashamiri kimekuwa zaidi ya chama bali ni imani.​
 
They’ve him in custody… they can do anything they want…na kuna njia zaidi ya 1000 to kill a man.

..kwanini wamuuwe?

..Ccm inaweza kushinda hata tukiwa na Tume Huru, na Katiba Mpya.

..Ccm ina fedha, na rasilimali nyingi sana, sio rahisi kushindwa na chama chochote cha upinzani.

..Sijui kwanini Ccm inalazimisha utekaji, na mauaji, na kupelekea nchi kuchafuka na kupoteza heshima yake.

..Mabadiliko wanayoyadai Chadema yana faida kwa Watanzania wote.
 
Yule alishakuwa compromised toka kitambo inaeleweka kuna virusi vingi vilikuwa/vipo ingawa kwa sasa wamajaribu kuvidhibiti kwa kiwango kikubwa sana ila uongozi ule ulikuwa na mapandikizi mengi sana fikiria kina Katambi, Mashinji nk mapandikizi waliofika kwenye uongozi wa juu walitoka lakini bado chama kinashamiri kimekuwa zaidi ya chama bali ni imani.​
heche, Katambi, mwalimu S, Wenje.

wote hawa destination yao ni Ccm au kufunguliwa kachama ka mchongo.

File 44# linawataja watangulizi wao Mabele, James , Lyatonga , Freeman nk

45# Inawataja project za Bavicha 80% uandaliwa jikoni.
 
Back
Top Bottom