Makonda: Lissu ni mropokaji hata mazungumzo ya CCM na Upinzani tulimtumia sana Mbowe, anatunza siri

Makonda: Lissu ni mropokaji hata mazungumzo ya CCM na Upinzani tulimtumia sana Mbowe, anatunza siri

Mbowe hivi leo angekubali maridhiano..

Alikuwa anaiua CHADEMA...
Mzee mshenzi sana yule na marienge yake..
Alikua ana beba mapesa ya CCM yeye na Kikundi chake kilichokimbilia CHAUMMA, Ndiyo maana mpaka kesho waliokimbilia CHAUMMA roho inawauma sana Lissu kuongoza Chadema, Ndiyo maana wana mchukia lissu kwasababu kawakosesha mapesa kutoka Serikali ya CCM. Yani hata mtoto wa Mbowe roho inamuuma sana.
 
Mbowe anajali nchi,hatangulizi matamanio yake mbele ya maslahi mapana ya nchi,ni kama maalim seif,seif angetaka Zanzibar pachafuke watu wafe nchi ichomwe angefanya,maana chaguzi zote alishinda lakini aliweka maslahi ya taifa mbele,siyo Hilo scenge la kinyaturu ropokaji kosa adabu,miezi nane kuwa mwenyekiti,hapatakalika,tutakinukisha,shenzilppppp kabisa!
Mbowe ana jali maslahi yake binafsi, yani kujali Maslahi ya nchi ni kukubali kuongwa pesa ili kuficha maovu na kuacha Ngorongoro na Bandari wapewe Wageni, na kukaa kimya Serikali inakopa pesa na kuzigawa kwa Maaskofu
 
Makonda alisema hayo akiwa Arusha akijibu tuhuma za Kumshambulia Lissu, alisema Lissu hata CCM huwa hawamwamini ndo maana Vikao uwa wanamshirikisha mbowe anatunza Siri na uwa anafika makubaliano vema na CCM si kama Lissu,

View: https://www.youtube.com/watch?v=vskxiEQ9IMc

Brunatnica

Na Chadema itaingia kwenye mtego. Lissu hakuwa nchini wakati mazungumzo kuhusu maridhiano yalipoanza. Huu ni mpango wa kukigawa Chadema na kumchafulia Mbowe. Kinachosikitisha ni kuwa Chadema kitaingia tena mkenge.

Amandla...
 
Makonda alisema hayo akiwa Arusha akijibu tuhuma za Kumshambulia Lissu, alisema Lissu hata CCM huwa hawamwamini ndo maana Vikao uwa wanamshirikisha mbowe anatunza Siri na uwa anafika makubaliano vema na CCM si kama Lissu,

View: https://www.youtube.com/watch?v=vskxiEQ9IMc

Brunatnica

Tukisema Mbowe alitumika na CCM kufifisha harakati za mageuzi ya kweli chawa wake wanabisha, haya sasa washirika wake wanaanza kumuumbua hapa.
 
Mbowe ana jali maslahi yake binafsi, yani kujali Maslahi ya nchi ni kukubali kuongwa pesa ili kuficha maovu na kuacha Ngorongoro na Bandari wapewe Wageni, na kukaa kimya Serikali inakopa pesa na kuzigawa kwa Maaskofu
Yale yale. Kiongozi pekee wa Chadema aliyeunga mkono serikali kwenye suala la Ngorongoro ni Msigwa.

Amandla...
 
Tukisema Mbowe alitumika na CCM kufifisha harakati za mageuzi ya kweli chawa wake wanabisha, haya sasa washirika wake wanaanza kumuumbua hapa.
Nilisema mtaingia mkenge. Tangu lini Makonda amekuwa mshiriki wa Mbowe. Labda angesema Kinana. Na Kinana alijadiliana zaidi na Heche kuliko Mbowe kwenye suala la maridhiano.

CCM wanajua sana kuwachezea.

Amandla...
 
Nyi si ndiyo hamumtaki Samia mkaenda kuchoma mwendokasi na sheli,mna akili nyinyi!..mmejaza matusi tu vichwani
CCM ndiyo namba moja kwa kutomtaka Samia tatizo la CCM wanatabia ya kuficha mihemko yao kwa kuogopa,Mfano leo hii Heche anaweza kusema CCM wauaji na atabaki salama lakin kauli kama hiyo akaisema Khamis Kingwangara ana shughulikiwa kama Pole pole
 
Nilisema mtaingia mkenge. Tangu lini Makonda amekuwa mshiriki wa Mbowe. Labda angesema Kinana. Na Kinana alijadiliana zaidi na Heche kuliko Mbowe kwenye suala la maridhiano.

CCM wanajua sana kuwachezea.

Amandla...
Ni mshirika wake kitaasisi na siyo personal, nilijua tu chawa wa Mbowe lazima mje.
 
Makonda alisema hayo akiwa Arusha akijibu tuhuma za Kumshambulia Lissu, alisema Lissu hata CCM huwa hawamwamini ndo maana Vikao uwa wanamshirikisha mbowe anatunza Siri na uwa anafika makubaliano vema na CCM si kama Lissu,

View: https://www.youtube.com/watch?v=vskxiEQ9IMc

Brunatnica

Makonda alisema hayo akiwa Arusha akijibu tuhuma za Kumshambulia Lissu, alisema Lissu hata CCM huwa hawamwamini ndo maana Vikao uwa wanamshirikisha mbowe anatunza Siri na uwa anafika makubaliano vema na CCM si kama Lissu,

View: https://www.youtube.com/watch?v=vskxiEQ9IMc

Brunatnica

Hivi wewe Makonda una akili kweli ?. Fala wewe uliyefeli kila mahali. Mbowe mnaweza kumuweka mfukoni, siyo Lissu. Hapo mmekwaa kigingi. Mbowe anahongeka, siyo Lissu. Nyie CHADEMA inawahusu nini mbwa nyie. Wewe Makonda una akili timamu?
 
Kanyimwa akili kapewa matako makubwaaaa
Screenshot_20240716_193908_Google.jpg
Screenshot_20231111_190308_Google~2.jpg
 
Ukweli ni kwamba ni vizuri kuelewa na kukubaliana na uhalisia kuwa tunakubali siku moja kutakuwa na Raisi ambae sio wa kutoka CCM, lakini ataekuwa Rais wa Tanzania atakuwa ni mtu tofauti na sio Lissu, na Lissu atapewa cheo cha kuendelea kulopoka bila meno ya kung'ata kama kuwa Makamu wa Rais.
Lissu atabaki kuwa kama Raila Odinga, yupo kwenye kila pilika lakini hajawahi kuwa Rais wa Kenya
Na hivyo ndivyo itakavyokuwa
Sawa,

Toeni hukumu ya kesi yake awe huru au anyongwe.
 
Mbowe ni kipenzi cha Ccm japo walimpa kesi ya Ugaidi.

Tindo zitto junior Fundi Mchundo
Sio kipenzi ni puppet hivyo vyama pinzani vyote vya siasa lengo la kuundwa kwake ni kuwapumbaza watu kwamba nchini Kuna democracy ili Mataifa ya Nchi za nje ya amini kwamba tz Kuna democracy ya kweli na pesa za kuanzishwa kwake zimetolewa na ccm hiyo hiyo so ccm wanavijua hivyo vyama vyema that's unaona mtifuano baina Yao na chadema huwa ni mzito

Cause it's like wanaona mbona hiki kinyago tulikichonga sisi wenyewe mbona now kina tutisha
 
Back
Top Bottom