Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Na nilijua tu kuwa utaniita chawa. Lakini chawa ni chawa tu. Chawa wa Lissu hana tofauti na wa Mbowe na wa Samia. Wote tunafanana.Ni mshirika wake kitaasisi na siyo personal, nilijua tu chawa wa Mbowe lazima mje.
Una ushahidi gani kuwa Mbowe yuko kwenye taasisi moja na Makonda? Na ni taasisi ipi? Yale yale ya tuhuma bila ushahidi.
Inajulikana wazi kuwa Msigwa yuko karibu sana na Lissu. Hata alipo hamia CCM, Lissu hajawahi kumsema. Kwa vile tuhuma za pesa za Abdul zilianza wakati Msigwa akiwa mgombea katika uchaguzi na aliposhindwa alihamia CCM, kwa nini tusiseme alikuwa amelamba pesa za Abdul? Na kwa vile Lissu ni rafiki yake mkubwa, kwa nini tusiseme kuwa Lissu nae alifaidika katika mgao huo?
Zote hizi ni speculations zinazoweza kutumika kumchafua Lissu. Mnachokifanya hapa ni sawa kabisa na upuuzi huu. Moja na moja mnaigeuza kuwa kumi na moja.
Naanza kuhisi pengine nyie ndio mko taasisi moja na Makonda.
Amandla...