Makonda: Lissu ni mropokaji hata mazungumzo ya CCM na Upinzani tulimtumia sana Mbowe, anatunza siri

Anachosema Bashite ni kuwa.... Mbowe alikuwa dalali
Mbowe anajali nchi,hatangulizi matamanio yake mbele ya maslahi mapana ya nchi,ni kama maalim seif,seif angetaka Zanzibar pachafuke watu wafe nchi ichomwe angefanya,maana chaguzi zote alishinda lakini aliweka maslahi ya taifa mbele,siyo Hilo scenge la kinyaturu ropokaji kosa adabu,miezi nane kuwa mwenyekiti,hapatakalika,tutakinukisha,shenzi kabisa!
 
Haha kama ujui.

hakuna mwanasiasa aliwahi ivua nguo Gavoo na elite kumzidi slow slow.

Tundu mdomo yupo mbali ila kichwani kungamua yajayo ni zero

Tundu is too late.

hifadhi hizo tafsiri
Naona mnajipa moyo , how can he be too late kama bado mnahangaika mpaka na michango ambayo watu wanachanga kwa ajili ya chama chake?
What takes you too long to decease him kama ni rahisi?
Tatizo hamnaga akili , vichwa vimebeba mavi tupu
 
Mbowe anajali nchi,hatangulizi matamanio yake mbele ya maslahi mapana ya nchi,ni kama maalim seif,seif angetaka Zanzibar pachafuke watu wafe nchi ichomwe angefanya,maana chaguzi zote alishinda lakini aliweka maslahi ya taifa mbele,siyo Hilo scenge la kinyaturu ropokaji kosa adabu,miezi nane kuwa mwenyekiti,hapatakalika,tutakinukisha,shenzi kabisa!
Sasa kama sefu alikuwa anashinda mbona ccm hawakuwa wanamtangaza?
 
Mbowe anajali nchi,hatangulizi matamanio yake mbele ya maslahi mapana ya nchi,ni kama maalim seif,seif angetaka Zanzibar pachafuke watu wafe nchi ichomwe angefanya,maana chaguzi zote alishinda lakini aliweka maslahi ya taifa mbele,siyo Hilo scenge la kinyaturu ropokaji kosa adabu,miezi nane kuwa mwenyekiti,hapatakalika,tutakinukisha,shenzi kabisa!
kwahiyo watu wanapodai tume huru ya uchaguzi unaamini wapo sahihi ?
 
Mbowe anajali nchi,hatangulizi matamanio yake mbele ya maslahi mapana ya nchi,ni kama maalim seif,seif angetaka Zanzibar pachafuke watu wafe nchi ichomwe angefanya,maana chaguzi zote alishinda lakini aliweka maslahi ya taifa mbele,siyo Hilo scenge la kinyaturu ropokaji kosa adabu,miezi nane kuwa mwenyekiti,hapatakalika,tutakinukisha,shenzi kabisa!
umejaza mavi kichwani ,,,,usisahau kutumia dawa maana dish limeyumba
 
Mbowe anajali nchi,hatangulizi matamanio yake mbele ya maslahi mapana ya nchi,ni kama maalim seif,seif angetaka Zanzibar pachafuke watu wafe nchi ichomwe angefanya,maana chaguzi zote alishinda lakini aliweka maslahi ya taifa mbele,siyo Hilo scenge la kinyaturu ropokaji kosa adabu,miezi nane kuwa mwenyekiti,hapatakalika,tutakinukisha,shenzi kabisa!
Need taratibu na makabila ya watu basi. Unawezakuta unamkashifu na kumtisha waziri mkubwa wako kimasiharamasihara tu. Manake hata jina la hilo "dude" hujaweka watu wajue unamzungumzia nani kwa mfano.
 
Ili tumpate mshindi alieshinda kihalali hauoni hapo umekiri kuwa sefu alikuwa anashinda chaguzi zote?sasa je mbona hakuwa anatangazwa?
We unafikiri hatamu za nchi mtu anapewa tu!?..umpe seif nchi muungano si umekufa hapo!

Watanzania wasiojua kuchambua sera na wanaopiga kura kwa mkumbo,uwape kuamua hatima ya hatamu za nchi!?
 
Naona mnajipa moyo , how can he be too late kama bado mnahangaika mpaka na michango ambayo watu wanachanga kwa ajili ya chama chake?
What takes you too long to decease him kama ni rahisi?
Tatizo hamnaga akili , vichwa vimebeba mavi tupu
late before.

zile tetesi ulidhani uongo?

sema lijuaji wameacha akalie siki immalize tu kimya
 
They’ve him in custody… they can do anything they want…na kuna njia zaidi ya 1000 to kill a man.
Sasa mbona hawafanyi ?wew unafikiri yoweri museveni hapendi kuwaua kiiza besigye au bob wine?..Kuna vitu huwezi gusa na ukijaribu vitaondoka hata na kile kidogo ulichowahi kukitegemea wakati bado hujapata Vingi..LISSU ni level ingine. You bloody Fool!!!!
 
Back
Top Bottom