Makonda: Lissu ni mropokaji hata mazungumzo ya CCM na Upinzani tulimtumia sana Mbowe, anatunza siri

Makonda: Lissu ni mropokaji hata mazungumzo ya CCM na Upinzani tulimtumia sana Mbowe, anatunza siri

Sasa mbona hawafanyi ?wew unafikiri yoweri museveni hapendi kuwaua kiiza besigye au bob wine?..Kuna vitu huwezi gusa na ukijaribu vitaondoka hata na kile kidogo ulichowahi kukitegemea wakati bado hujapata Vingi..LISSU ni level ingine. Fool!!!!
Kuna njia zaidi ya 1000… zinazoonekana na zisizoonekana, kwa Lissu zinazoonekana zilishashindwa …unamkumbuka yule dada aliyeimba wanatufanya manyani?
 
They won’t let him die in custody….Dioxins act slowly by binding to cellular receptors, altering gene expression, and heavily inflaming internal organs.#assumptions
Acha kujipa moyo kipumbavu , ukubwa wa ccm na ukatili wale haujafika hata nusu ya Mobutu seseko Wala Omar bongo na bado muda ulipofika walitema bungo
 
Back
Top Bottom