Ukweli ni kwamba ni vizuri kuelewa na kukubaliana na uhalisia kuwa tunakubali siku moja kutakuwa na Raisi ambae sio wa kutoka CCM, lakini ataekuwa Rais wa Tanzania atakuwa ni mtu tofauti na sio Lissu, na Lissu atapewa cheo cha kuendelea kulopoka bila meno ya kung'ata kama kuwa Makamu wa Rais.
Lissu atabaki kuwa kama Raila Odinga, yupo kwenye kila pilika lakini hajawahi kuwa Rais wa Kenya
Na hivyo ndivyo itakavyokuwa
Lissu atabaki kuwa kama Raila Odinga, yupo kwenye kila pilika lakini hajawahi kuwa Rais wa Kenya
Na hivyo ndivyo itakavyokuwa