Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi waelekea ziarani Ngorongoro

Hii ni timu ya manafiki watupu, wanajua ukweli ila sababu ya asali wanajifanya vipofu na viziwi
 
Anzisheni matatizo wenyewe halafu muya tatue wenyewe halafu mjisifu.
Shenzi kabisa
 
Huyo aliyevaa hiyo tshirt yenye picha ya rais na siyo wakati wa kampeni bali yuko kazini naye ni msomi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…