Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi waelekea ziarani Ngorongoro

Muuaji Awadh anafuata nini Ngorongoro?

Sasa tunaamini huyu afande Awadh ni icon ya Hangaya. Ana baraka zote za kuua kutoka kwa boss
 
Muuaji Awadh anafuata nini Ngorongoro?

Sasa tunaamini huyu afande Awadh ni icon ya Hangaya. Ana baraka zote za kuua kutoka kwa boss
Amekweenda kuua tena, kuna watu walikamatwa tangu ile Jumapili lazima akaue watatu au wanne roho yake ifurahi.
 
..Kabudi, Lukuvi, na Makonda, ni wanasiasa wenye kiburi kwelikweli.

..Lakini leo mbele ya Wamaasai wameweka pembeni viburi vyao,na kuwapigia magoti wananchi.

..Nimemsikia Makonda akiomba nyimbo za Kimaasai.

..Kabudi amemtaja neno HAKI mara kadhaa. Mwana-Ccm ni mwiko kutaja neno haki lakini kwa wananchi wamelitaja.

..Kwa kifupi wananchi wa Ngorongoro wameonyesha njia. Wamekataa kunyanyaswa.


View: https://m.youtube.com/watch?v=Xj9xjdD7bcw&pp=ygURa2FidWRpIG5nb3Jvbmdvcm8%3D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…