Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Unauhakika kuwa kazi hawafanyi au wewe ndio hauna kazi ya kufanya?Bora awaambie ukweli, wanadai mishahara huku kazi hawafanyi.
Ni mwendo wa hapa kazi tu, kuna lipi la kushangaza kwa alichoongea!?
Na akitoa mfano, nyie lazima muukuze.
Mtajiju na muache kulalamika juu ya kuzungushwa kwenye ofisi za mji huo, huku akifata njia kuwanyoosha mnamsema.
Makonda oyeeeeeeeeeee
Nani kakwamb
i
Tuliishapitisha azimio kwamba habari za mtu huyu zisiandikwe kwenye vyombo vya habari. Sasa vipi tena?
Unauhakika kuwa kazi hawafanyi au wewe ndio hauna kazi ya kufanya?
Hivi wewe unasema ati "si mlisema.."! Akina nani walisema?Je umejuaje kama ni wao wameandika hapa na si bashite mwenyewe?Je unadhani bashite hana wafuasi?Akina bashite nchi hii ni wengi hata kwenye hii thread wamo!Si mlisema kuwa hamtaandika habari zake Paul Makonda?? Sasa imekuwaje hadi mnaanza kumtafuta kijana wa watu? Au zilikuwa hasira tu. Makonda noma, mtake msitake, mtamuandika tu!
Hakuna hata mama ni mmojaHuyu na yule wa arusha baba mmoja mama tofauti.
Anaefuatilia maandiko yako humu ataumia sana ila ww ni wa kupuuzwa au ndio DAB umekuja Kwa hii IdBora awaambie ukweli, wanadai mishahara huku kazi hawafanyi.
Ni mwendo wa hapa kazi tu, kuna lipi la kushangaza kwa alichoongea!?
Na akitoa mfano, nyie lazima muukuze.
Mtajiju na muache kulalamika juu ya kuzungushwa kwenye ofisi za mji huo, huku akifata njia kuwanyoosha mnamsema.
Makonda oyeeeeeeeeeee
Nyie endeleeni kutetea yanayofanywa na bashite pamoja na baba Jesca lkn siku yakikukuta hakuna mtaacha kuona,hakika ntawaambia...Huo unaoongea ni upupu
Anaefuatilia maandiko yako humu ataumia sana ila ww ni wa kupuuzwa au ndio DAB umekuja Kwa hii Id