Hata hujui ulichoandika!Afadhali mtoa mada ameanza kuleta habari za Makonda baada ya wale wengine kugoma....leta habari zote za huyo bwana...kuna watu wengi wanapenda kusikiliza habari zake....we leta iwe usiku mchana...jua mvua....we leta tu. Na viboko wachapwe tu maana watu wengi wanaazima akili kwa wengine...viboko vihusike tu. Siku ya sherehe nyie mnagoma....haiwezekani!!
Aisee kuna watu jana nilikuwa nao Kwenye interview mitaa fulani ya jijini....tulikuwa nane... Wawili walikuwa ni waajiliwa wa serikali(H/mashauri X)... Ktk ongea yetu mmoja anadai aliajiriwa 2010.... Lakini ofisini hakuna majukumu yaani yakiwepo basi watu walewale ndio wanafanya....yaani km pesa za mradi zimekuja basi huitana Daico na watu wake ili wazipangie majukumu....wakati wengine mkiendelea kusoma magazeti, kucheza Zuma, whasap na kubadili vijiwe vya chakula kila mda...na kupiga umbea basi. Yaani wengi walikuja pale ili waache kazi huko...wakidai hawajikuzi kitaaluma badala yake wanakuwa km wanaongezewa uzembe.....na hii IPO maofisini huko serikalini....ofisi nyingi wamejazana hakuna wanalolifanya yaani...Makonda alipoongea watu walitoa sana macho...lakini ndio ukweli hebu tujitambue tuwe wabunifu hata km tumeajiriwa serikaliniWatumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dsm wanapitia kipindi kigumu sana.
Bashite hajui May Mosi ni siku ya kuzungumzia Masuala ya Wafanyakazi sio Wateja wa Wafanyakazi
ajulie wapiWatumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dsm wanapitia kipindi kigumu sana.
Bashite hajui May Mosi ni siku ya kuzungumzia Masuala ya Wafanyakazi sio Wateja wa Wafanyakazi
Hivi baya lipi ameongea hapo labda nyie ndiya mabashiteHivi MWIZI wa vyeti anapata wapi ujasiri wa kuongea maneno hayo? Haoni aibu?
Huo unaoongea ni upupuinauma bana! mtu anamka tandale kwa tumbo saa 11 anakabwa anachaniwa nguo, bado anakomaa anafka job kumsaidia mtanzania mwenzake wa hal ya chn! akiomba nyongeza walau atoke akapange hata kinondon imekuwa shda! huyu chocochannel dawa yake mungu anaichemsha! akiipua ataisoma namba
Mkuu,hiyo ni roboti na sio mtu huyo.Hivi tumefika mahali tunawaona wafanyakazi wa serikali kama watumwa au mizigo,sababu tunamadaraka??
Kuna methali inasema .............'Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke'
Nakushauri wacha kuchangia habari zinazo mhusu BashiteHivi umeona nembo kwamba wale ni TBC??
Paul MakondaMkuu wa Mkoa wa Dar ni nani?