Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Tulikubaliana nn?
Acheni ujinga.
Acheni ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimegundua wewe una akili kubwa sana lakini umeamua kuzidumaza na kujifanya hamnazo sijui kwanini umeamua hivyo labda unanufaika kwa namna moja au nyingine ndiyo sababu uko hapa kucha kutwa kuwatetea hawa wahuni na mafisadi. Pole zako nyingi.
Imebidi nicheke nilipoona hiyo video ya Kinana, unapenda sana kuiposti..na ukweli ni sijawahi kuiangalia naipitaga...ila nitajitahidi siku moja niiangalie.
Ya Nape niliiona huyo ni povu tu, anaumia bado kwa kukamatwa na malengo yake mabaya kwa awamu hii.
Hayo mengine, moja mbona Lugumi mali zake zimeanza kuchukuliwa au ulitaka waingie kwa njia inayowapendeza ninyi?
Ndio alisema hayo juu ya makaburi, ila anayafukua mengine pole pole anajua ukuongea sana watu watajipanga. Hakuna anayelala usingizi mnono awamu hii kama alifanya mabaya. JPM ni habari ingine.
Jina uliloandika pamoja na la Nape huyo simfahamu.
Juu ya bajeti JPM anajua analolifanya, kwa hilo tuwr wavumilivu. Na mengine pesa huwa zinatolewa na hazifanyi yanayotakiwa. Ni bora kupima upepo bado ana miaka 8+ ya kuongoza tuwe na subira anatutakia mema juu ya nchi yetu.
Ya Arusha hayo ukweli hatuwezi kuujua kwa sababu Meya wa uko aliyaanzisha kutaka ubabe, aliomba kuona matumizi ya rambirambi akapewa huku aliahidi isipotolewa atasema yake akala kimya na kukamata mbio juu ya hili.
Mara akatokea kwenda kuanzisha lingine la kutaka kutumia shule hiyo na ajali kisiasa, na mengine mengi kisa hakupewa hata senti moja akapata mwanya wa kuweka mfukoni. Kama meya hasiye na tamaa kwanini hakutaka kujua pesa zilizobaki wanampango gani nazo, si unajua kuna over 50m imebaki hadi siju ile huku wakizidi kutoa zingine kwa wafiwa...sasa why hakutaka kuchangia kwa kuto ushauri zilizobaki zifanyiwe nini...yeye anaenda kweli kyitisha kikao eti wachangie!!!! Si inashangaza...kwani kuna pesa zilipungua? Kwani misiba watu wanaweka limit ya kiasi gani lazima kichangiwe? Kwani lipi tangu siku ta ajali juzi ndio akaona kuna umuhimu sana?
Yeye mwenyewe na wenzake hadi mbunge(huyu ulazima wa bungeni ndio katoa) ila kivyake angetoa si mngenshangilia kila sekunde au...hao wanapiga kelele ya pesa za rambi rambi hawakuchanga hata senti..mbunge ndio kwanza alikasirika hakupewa nafasi kuongea na kuvaa kwake ki chadema siju hiyo..hata hakunuheshinu mkubwa wake kwa kupewa nafasi...si angemuomba amyachie yeye ndio aongee....
Upinzania na haswa Chadema na mwenza ya Zitto ni vituko tu, hawana jipya la kuleta maendeleo wanajulikana kwa kudakia kila jambo la serikali na kulikuza kutafuta kiki
Na wanatamani wawe wanabenwa kwa kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu hii wajue...ni tale maziea ya zamani ya kuambiwa majambo huku wakippkea bahasha za khaki...sasa awaku hii hayo hakuna wapo kama wengi sisi raia.
Waende wakaebdeleze majimbo yao tuone tuwashangilie...meya anatamani pesa za rambirambi kaunia hadi anatafuta njia ta kuzipata ili azile na pia kuchochea matatizo mkoani Arusha na nchini.
Watanyooka tu
Na lingine tusibiri matamko ya polisi walipo, wewe na mimi hatukuwepo Arusha..ungekuwepo ungeandika upo huko. Tuache polisi wafanye kazi yao kama hawana hatia kwa matendo yao wataachiwa...usisahau kuwa viongozi wenu wana tamaa ya pesa wanajali matumbo yao na sio wananchi.
Muwaache wafiwa waendelee kuonboleza na sio kuwatumia kisiasa.
Hivyo tusibiri, ni tag tamko likitoka.
Habari zake zinazochefua ndizo tunaandika kaka/dada.Mmeanza tena kuandika habari zake...?
Shida nin au ameshaomba msamaha..?
Kidogo niulize!Nani analeta habari za Bashite huku tulishakubaliana hakuna kuandika habari zake.
Nimekwambia una akili kubwa sana lakini umeamua kuzidumaza. Pole zako labda iko siku utaamua kubadilika na kutumia akili zako vile ambavyo unastahili kuzitumia badala ya hivi ilivyo sasa, kukubali kuitumia akili ya vile ambavyo mtu A au B anataka uitumie.
Siku ukiwa huru kwenye matumizi ya akili yako nitakuwa wa kwanza kukupongezea na kukupigia makofi. Natumai hiyo siku haiko mbali sana.
Mna mahaba na Makonda nyie...siyo bure
Ila unaona navutiwa na lori la JPM, sijawahi kufatilia ya serikali kabla kama ninavyofanya awamu hii.
Kwa hiyo upande wenu huko kuja mmmmmh, labda sijui iweje. Au Mbowe aniachie kiti chake eeeeeeh unajua ni utani.... mnahitaji kiongozi kama JPM kuwaongeza.
Humu nitaendelea nilivyo, huyu ni Cocochanel...eeeh Bak kaa salama.