Makonda: Marufuku kudai nyongeza ya mshahara! Nashangaa watu wanapita na mabango, mie ningewachapa

Time will tell!Yeye na kichwa chake!Kwa umri wake Allah akimjalia uhai ipo siku tena si mbali ataijutia kauli yake!
 
Si mlisema kuwa hamtaandika habari zake Paul Makonda?? Sasa imekuwaje hadi mnaanza kumtafuta kijana wa watu? Au zilikuwa hasira tu. Makonda noma, mtake msitake, mtamuandika tu!
Ebu acheni mihemko ya kisiasa mtu anazungumza upuuzi mnamsapot hivi mnaakili nyinyi?
 
Reactions: SDG
Unauhakika gani huyo makonda unayemsifia anafanya kaz? Kazi ipi aliyoifanya akafanikiwa zaidi ya kufeli kote.watu wanaoweka maslahi ya chama mbele badala ya utaifa ni hatar sana kwa nchi hii
 
Mmeanza tena kuandika habari zake...?
Shida nin au ameshaomba msamaha..?


Panya akitaka kutajwa jina basi hutoka shimoni alimradi watu wa shout panya panya panya...., then anarudi tena shimoni
 
Kwa namna ninavyomuelewa Bashite kama naye angekuwa na cheti lile zoezi la kufukuza watumishi wenye vyeti fake angelisimamia wenyewe.

Kwanza zile piki2 ameshazitoa au amewaagiza wauza bwimbi wanunue
 
Hajui ugumu wa kupass form four

Hajui mtiti wa Adavanced Level

Hajui mziki wa kutafuta courseworks

Hajui mziki wa UE

Hajui hata SUPP ni nin

Hajui hta CARRY OVER ni nin
 
Reactions: SDG
Nipo kwenye maombi mazito laana yangu imfikie
 
Ndugu omeongea mambo ya Msingi sana. Uyu MTU ameshakewa madalaka anajiona kua yeye sio hadhi ya binadamu kabisa lkn Mungu amsaidie amoe maidha marefu na natusi snayo tutukana wskati ata shule ana akika ninamatokeo mazuri afu MTU kama uyo analeta kidomo aangalii ata kauli anaooyoa ajipimi. Ngoja tutajaona mwisho wake sote situpo tz dijui kama atakua rc miaka yote. Hakika inatia hasira
 
The guy's a disgrace to humankind, anawezaje kuongea kama mtu asiye na tafakuri? Eti wachapwe viboko, with all due respect Mr president, hivi huyu jamaa kwa kiburi na dharau hizi bado anaendelea kuwa na wadhifa mkubwa?
 
Reactions: SDG
Hiyo kauli kama ni ya kweli bac....ntaamini kwa asilimia 200 yaliyosemwa juu ya huyu jamaa...sasa kama hataki watu waombe nyongeza ya mshahara anataka waombe nyongeza ya nn.....oxygen au?Kuomba nyongeza ya mshahara ni kitu cha kawaida tu...hii mambo ya kutishanatishana hii kwa kauli kama za miungu watu si nzuri
 
Unauhakika gani huyo makonda unayemsifia anafanya kaz? Kazi ipi aliyoifanya akafanikiwa zaidi ya kufeli kote.watu wanaoweka maslahi ya chama mbele badala ya utaifa ni hatar sana kwa nchi hii

Unayako unayoyajua wewe mwenyewe.

Ukizidi kuumia roho, lamba ndimu au uile kabisa. Ati? Eeeeh
 
Mpima upepo wa ndonga huwa anatangulizwa kuropoka,ndo kazi yake kuu then ndonga the masta mind anaingia full
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…