ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Anataka kuleta mambo ya Korea ya Kaskazini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu acheni mihemko ya kisiasa mtu anazungumza upuuzi mnamsapot hivi mnaakili nyinyi?Si mlisema kuwa hamtaandika habari zake Paul Makonda?? Sasa imekuwaje hadi mnaanza kumtafuta kijana wa watu? Au zilikuwa hasira tu. Makonda noma, mtake msitake, mtamuandika tu!
Unauhakika gani huyo makonda unayemsifia anafanya kaz? Kazi ipi aliyoifanya akafanikiwa zaidi ya kufeli kote.watu wanaoweka maslahi ya chama mbele badala ya utaifa ni hatar sana kwa nchi hiiBora awaambie ukweli, wanadai mishahara huku kazi hawafanyi.
Ni mwendo wa hapa kazi tu, kuna lipi la kushangaza kwa alichoongea!?
Na akitoa mfano, nyie lazima muukuze.
Mtajiju na muache kulalamika juu ya kuzungushwa kwenye ofisi za mji huo, huku akifata njia kuwanyoosha mnamsema.
Makonda oyeeeeeeeeeee
Mmeanza tena kuandika habari zake...?
Shida nin au ameshaomba msamaha..?
Nipo kwenye maombi mazito laana yangu imfikieinauma bana! mtu anamka tandale kwa tumbo saa 11 anakabwa anachaniwa nguo, bado anakomaa anafka job kumsaidia mtanzania mwenzake wa hal ya chn! akiomba nyongeza walau atoke akapange hata kinondon imekuwa shda! huyu chocochannel dawa yake mungu anaichemsha! akiipua ataisoma namba
Ndugu omeongea mambo ya Msingi sana. Uyu MTU ameshakewa madalaka anajiona kua yeye sio hadhi ya binadamu kabisa lkn Mungu amsaidie amoe maidha marefu na natusi snayo tutukana wskati ata shule ana akika ninamatokeo mazuri afu MTU kama uyo analeta kidomo aangalii ata kauli anaooyoa ajipimi. Ngoja tutajaona mwisho wake sote situpo tz dijui kama atakua rc miaka yote. Hakika inatia hasiraSio lazima mtu akutamkie wewe ni kijakazi wake lakini kauli zingine ni dharau kubwa sana na hii ni sawa na kukuona wewe kama kondoo kwamba hata akutamkie nini huwezi kumfanya kitu.
Haya matamshi ni ya kikoloni lakini sio ya kutolewa baada ya watu kujitawala.
Ipo siku atakuja na kauli mbaya kuliko hii ya kutaka kuchapa watu viboko kwasababu hakuna anaemkemea kila mtu yuko kimya.
Analelewa sana huyu na mtoto umleavyo ndivyo akauavyo.
Haya mambo yanawezekana hapa kwetu ila ingekuwa ni nchi nyingine kiingeeleweka.
Hata Wakenya wasingekubali
Alafu nyie viongozi wa dini ndio mnakaa meza moja na watu wa aina hii!!!
Wee kaa dawa itakuingia tu!.... Maana mnajitoa ufahamuHata hujui ulichoandika!
Hujui unachoandika,sifa ya kujua kusoma na kuandika inakuhusuWee kaa dawa itakuingia tu!.... Maana mnajitoa ufahamu
Unauhakika gani huyo makonda unayemsifia anafanya kaz? Kazi ipi aliyoifanya akafanikiwa zaidi ya kufeli kote.watu wanaoweka maslahi ya chama mbele badala ya utaifa ni hatar sana kwa nchi hii
Hahaha.....et waziri wa matukio maalumu aka misimu...Watu mnamaneno sana..hahaKwani makonda ndo waziri wa kazi?
Nadhani jamii forum sio sehem ya vyombo vya habari...Mmeanza tena kuandika habari zake...?
Shida nin au ameshaomba msamaha..?