Makonda ni kada siyo mtumishi wa umma hastahili kusafishiwa njia na trafiki kwa kufunga barabara

CCM ishagundua na kujihakikishia kwamba Watanzania ni mazuzu sasa inajiamulia kufanya watakavyo.
 
Unateseka ukiwa wapi mamaeee
 
Hiyo ni bajeti ya ccm kwenye ruzuku zao
 
Japo sio mtumishi ila ni msimamizi wa watumishi. Ndio maana ya chama kushika hatamu za uongozi.
 
Wenzako wameandika wakaona ni ujinga tu maana ungekuwa mkurugenzi wa mji,jiji ,Rpc,tanesco, mamlaka ya maji ungekwenda kwa kukimbia ,sasa wewe sio mmoja wao .kama unadhani wao wajinga nenda kwa RPC waulize kwanini wanakwenda kwenye mikutano ya huyu ndugu
 
Kwanini
 
Pamoja na kusafishiana njia wanagingana wao kwa wao
 
Pamoja na kutufungia njia sisi raia wanagongana wao kwa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…