Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Serekare midamida inakwama sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serekare midamida inakwama sana
Ni ufisadi tu huo....hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Nendeni nyie kwasababu hao ni mabwana zenuAnatakiwa ubalozini pale Usa
Unateseka ukiwa wapi mamaeeeHabari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Hiyo ni bajeti ya ccm kwenye ruzuku zaoHabari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Wenzako wameandika wakaona ni ujinga tu maana ungekuwa mkurugenzi wa mji,jiji ,Rpc,tanesco, mamlaka ya maji ungekwenda kwa kukimbia ,sasa wewe sio mmoja wao .kama unadhani wao wajinga nenda kwa RPC waulize kwanini wanakwenda kwenye mikutano ya huyu nduguHabari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
KwaniniWenzako wameandika wakaona ni ujinga tu maana ungekuwa mkurugenzi wa mji,jiji ,Rpc,tanesco, mamlaka ya maji ungekwenda kwa kukimbia ,sasa wewe sio mmoja wao .kama unadhani wao wajinga nenda kwa RPC waulize kwanini wanakwenda kwenye mikutano ya huyu ndugu