Makonda ni muovu. Kama siyo muovu kwanini hajaenda Mahakamani kuwashitaki Lissu, Haji Manara, Clouds Media na Serikali ya Marekani?

Ni kweli, jamaa ana tuhuma nyingi, kuna moja kwamba Ben 8 alipokataa kuomba msamaha kwa kuhoji udaktari wa Jiwe - jamaa alimchapa kibao na Ben akamtemea koozi machoni... hapo hapo jamaa akaamuru aingizwe kwenye chumba cha chatu wenye njaa kali.

Hizi tuhuma ni vizuri akazijibu - ajIsafishe iwe nje ana ndani ya Mahakama.

Katibu Mwenezi wa chama tawala hatakiwi kuwa na chembe ya tuhuma za mauaji na udhalilishaji kama hizi.
hayo maswali ya kishenzi na kipumbavu anatakiwa aulizwe Mwenyekiti wa Vilaza FC inayoundwa na Mbowe, Lema, Msigwa na Sugu vilaza wanaoongoza nyumbu
 
wachaga walijifanya wao ndio wamiliki wa nchi hii waliunda vikundi vya kuua na kuangamiza watu wakiongozwa na Mbowe kwani tunajua kuwa baada ya Ben saanane kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema Mbowe alimfanyia kitu Mbaya kwa nini Mbowe huyy gaidi lililoshitakiwa Tanzania liongoze kikundi cha kigaidi kuua na kuchoma mji wa Dar wote huyu mtu ety anaongoza wajinga Sana
Mbona hamjamshitaki Mbowe kwa kuwateka?
 
Makonda hata ajifarague na kujinaragua vipi mbele ya watanzania, yeye ni jambazi, mtekaji, mporaji na muuaji.

Niliyowataja hapo juu walitoa shutuma za uhalifu wa Makonda hadharani kabisa.

Cloudsmedia walirusha kwa masaa 3 kwenye TV, shutuma za uvamizi wa Makonda kwenye jengo lao la matangazo tena usiku na kamera za CCTV zikamnasa.

Serikali ya Marekani iliandika waraka kumzuia Makonda kukanyaga ardhi yao wakidai ni muuaji (ananyima watu haki ya kuishi). Wakauweka waraka huo hadharani na mitandaoni.

Haji Manara alichapisha waraka ukimshutumu Makonda kupora nyumba ya GSM na akauweka waraka huo hadharani na mitandaoni.

Lisu kaongea hadharani kuwa Makonda anahusika ktk tukio la yeye kupigwa risasi.

Sasa muulizeni Makonda, kwamba mbona hajaenda mahakamani kupinga shutuma hizi ili kujisagisha?! Badala yake amekuwa akienda kulia na kuombewa na makasisi na mashehe?
IMG_20211218_014906.jpg
 
Aliyexfeli ni Lema, Sugu, Mnyika, Mbowe na Msigwa hawa woote ni vilaza FC
Huna jipya katika nchii hii we Daud Albert Bashite, kijana wa hovyo kuwahi kutokea.

Mwizi wewe, jambazi la kuvamia ofisi za watu usiku wew, fisadi wewe, mpenda sifa wewe,

Chawa wewe, muuaji wewe, ujaribu kubadilika, hautavumiliwa miaka yote, utakuja kuishia pabaya siku mambo yakibadilika, utaishia pabaya kuliko mwenzako sabaya
 
Hadithi za abunuasi! Makonda hajawahi kuwa kama unavyotuaminisha hapa! Wewe mpumbavu na wenzako endelea kuteseka!
 
Wachaga bhana mnajikutaga ila hamna lolote! Saizi maji shingoni!
Wewe msukuma acha upumbavu kila kabila Tanzania lina sifa nzuri,vile vile kila kabila lina sifa mbaya,tuache hizi tabia za kushambulia watu kwa makabila yao,hizi tabia zibakie Congo,Burundi na Rwanda.
 
Nyinyi majizi na matapeli ndo sifa yenu! mnajifanyaga mna anaakili sana kumbe ndezi tu!
Mkiona Msukuma yeyote mwenye umaarufu au mafanikio mnaanza nongwa! Pumbavu kabisa!
 
Wachaga mnasifika kwa wizi,utaperi na Kila aina ya ubaya.pia kwa Sasa ni maji ya shingo
 
Mku
Nyinyi majizi na matapeli ndo sifa yenu! mnajifanyaga mna anaakili sana kumbe ndezi tu!
Mkiona Msukuma yeyote mwenye umaarufu au mafanikio mnaanza nongwa! Pumbavu kabisa!
Mkuuu hao majibwa ni wanakera kwa uchoko na usela mavi wao, hivo nikuwapa makuvu na kuwapotezea.
 
Makonda hata ajifarague na kujibaraguza vipi mbele ya watanzania, yeye ni jambazi, mtekaji, mporaji na muuaji.

Niliowataja hapo juu walitoa shutuma za uhalifu wa Makonda hadharani kabisa.

Cloudsmedia walirusha kwa masaa 3 kwenye TV, shutuma za uvamizi wa Makonda kwenye jengo lao la matangazo tena usiku na kamera za CCTV zikamnasa.

Serikali ya Marekani iliandika waraka kumzuia Makonda kukanyaga ardhi yao wakidai ni muuaji (ananyima watu haki ya kuishi). Wakauweka waraka huo hadharani na mitandaoni.

Haji Manara alichapisha waraka ukimshutumu Makonda kupora nyumba ya GSM na akauweka waraka huo hadharani na mitandaoni.

Lisu kaongea hadharani kuwa Makonda anahusika ktk tukio la yeye kupigwa risasi.

Sasa muulizeni Makonda, kwamba mbona hajaenda mahakamani kupinga shutuma hizi ili kujisagisha?! Badala yake amekuwa akienda kulia na kuombewa na makasisi na mashehe?
Je, hao uliowataja wamewahi kumfikisha mahakamani au hata polisi?
Mbona unakuwa fala sana wewe kenge?
 
Back
Top Bottom