Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
hayo maswali ya kishenzi na kipumbavu anatakiwa aulizwe Mwenyekiti wa Vilaza FC inayoundwa na Mbowe, Lema, Msigwa na Sugu vilaza wanaoongoza nyumbuNi kweli, jamaa ana tuhuma nyingi, kuna moja kwamba Ben 8 alipokataa kuomba msamaha kwa kuhoji udaktari wa Jiwe - jamaa alimchapa kibao na Ben akamtemea koozi machoni... hapo hapo jamaa akaamuru aingizwe kwenye chumba cha chatu wenye njaa kali.
Hizi tuhuma ni vizuri akazijibu - ajIsafishe iwe nje ana ndani ya Mahakama.
Katibu Mwenezi wa chama tawala hatakiwi kuwa na chembe ya tuhuma za mauaji na udhalilishaji kama hizi.