Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ataje kwanza aliowaua kwa kushirikiana na dhalimu. Yaani mtu muovu anatishia kutaja watu wanaosema ukweli huku mitandaoni?!Kama unatukana ama unatuma watu watukane utatajwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataje kwanza aliowaua kwa kushirikiana na dhalimu. Yaani mtu muovu anatishia kutaja watu wanaosema ukweli huku mitandaoni?!Kama unatukana ama unatuma watu watukane utatajwa tu
Acheni kumpa airtime huyu mweh*Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda amesema kuna baadhi ya Watu wanawalipa Watu pesa ili wawatukane Viongozi mitandaoni ambapo amesema anawafahamu Watu hao na kama aliweza kuwataja wauza unga hashindwi kuwataja na wao pia.
“Tuna wajibu wa kuliombea Taifa na kuwaombea Viongozi wetu, wasiolitakia mema Taifa letu watamnenea mabaya Rais wetu na mnaona wengine wanalipa Watu mitandoni na bahati mbaya Mimi mdogo wao nawajua, Mimi nikikaa nikiangalia kwenye mtandao wale wenye majina makubwa najua huu mwandiko wa fulani, si nimelelewa na hawa Wazee hawa nimekaa chini ya akina Sitta, Membe, Magufuli wamenilea, nikikaa niangalia hivi nasema mmh, sasa Mimi siwachukii wale wanaondika kwasababu wanalipwa nao wanapata ugali ndio maana huwezi sikia nakuwa na tatizo na anayeniandika vibaya lakini sio kumwandika Rais vibaya”
“Na wengine wanaowalipa wanaoandika vibaya kwenye mitandao ni wale wanaolipwa mshahara na Dkt. Samia (Ambaye nae wanamtukana) mnanifahamu, mnanijua, kama Wauza unga niliwasema sembuse hawa wanaomtukana Rais , niseme tu Kaka zangu acheni, muacheni Rais afanye kazi, Mwacheni Mwenyekiti wa Chama afanye kazi, nyie kazi yenu moja kumuombea , la pili kumshauri , usitaka afanye kile unachotaka wewe tu ndio kizuri, Taifa hili lina Watu wengi”
“Acheni kuwachafua Makamu wetu Mwenyekiti wa Chama Taifa bara, acheni kumchafua Dr. Mwinyi, acheni kumchafua Katibu Mkuu wetu Chongolo, tuwape nafasi Viongozi wetu wafanye kazi, nawafahamu na miandiko yenu naijua na hata mnazowatumia najua , Mimi najua nilipotolewa na Mungu”
#MillardAyoUPDATES
ilikuweje hapa, sijaelewa.Haya
Hizi picha tunafahamu Makonda ndio alizivujisha kwa lengo la kuifanya jamii iamini kuwa ana ukaribu mkubwa na Rais.Haya
Sakata lake likazaa Kamishina wa dawa za kulevya. Bila yeye .......!Huyu jamaa yuko sawa kweli kichwani ?
Wale wauza unga aliowataja wamefungwa gereza gani?
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa hadhara katika mapokezi yake Jijini Dodoma amesema anawafahamu wanaowalipa vijana ili wawatukane viongozi mitandaoni wakiwemo viongozi wa CCM, Mwenyekiti, Rais Samia Suluhu, Makamu Mwenyekiti Bara, Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti Zbar, Dkt Hussein Mwinyi na Katibu Mkuu Daniel Chongolo
View attachment 2800205
Kama unatukana ama unatuma watu watukane utatajwa tu
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa hadhara katika mapokezi yake Jijini Dodoma amesema anawafahamu wanaowalipa vijana ili wawatukane viongozi mitandaoni wakiwemo viongozi wa CCM, Mwenyekiti, Rais Samia Suluhu, Makamu Mwenyekiti Bara, Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti Zbar, Dkt Hussein Mwinyi na Katibu Mkuu Daniel Chongolo
View attachment 2800205
Angalia Komenti zao hapa. Wanahaha sasa wata tajwa.
Pipoz muwe makini. Fyekeo hilo😅
🤪
Awataje tu.
Sakata lake likazaa Kamishina wa dawa za kulevya. Bila yeye .......!
Lini Samia alitukanwa, aliyemtukana ni nani na alisemaje?
Ameanza kudharaulisha viongozi ili ajipatie umaarufu. Mama katukanwa, lini?
Hahaha hata ye anajua ni blah blah lakini ndo siasa za bongo. Wanatugeuza km chapati na tunachekelea tu!Huyu jamaa yuko sawa kweli kichwani ?
Wale wauza unga aliowataja wamefungwa gereza gani?
Haya
Kaanza kuchangamsha Tanzania tena,maana haishiwagi michangamsho
Tafsiri yake hata wakina Lucas mwashambwa wanalipwa😃😃Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda amesema kuna baadhi ya Watu wanawalipa Watu pesa ili wawatukane Viongozi mitandaoni ambapo amesema anawafahamu Watu hao na kama aliweza kuwataja wauza unga hashindwi kuwataja na wao pia.