Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Wataje usiogope Wataje.... × 3.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point...Sawasawa..... Mi ninachojua unapopewa second chance unatakiwa uitumie vizuri na kwa makini
Admin naomba edit Makonda wadogo isomeke Makinda wadogoHivi karibuni nchini kwetu pamekuwa na utoaji wa maoni kwa uhuru, jambo ambalo ni zuri, lakini sasa uhuru huu umeanza kutumika vibaya, hali ambayo haikubaliki kamwe.
Ndugu zangu, Taifa lolote ambalo wananchi wake hawana nidhamu, heshma wala utii kwa mamlaka ambazo zipo madarakani kiuhalali, haliwezi kuendelea kamwe.
Nchi yetu Ina miiko, mila na desturi zetu na kamwe hatuwezi kuiga desturi ama mila za nchi nyingine ambazo kwetu ni utovu wa nidhamu, na sisi watu wazima wenye akili , tukae kimya huku mambo yasiyofaa yakiendelea kufanywa haswa na vijana na watoto wetu.
Sina haja ya kusema kinachoendelea mitandaoni dhidi ya kiongozi wetu, ambae amepatikana kihalali, anadhalilishwa, kukosewa adabu na kutukanwa na Makonda wadogo, vijana na watu wazima wenye tabia chafu. Maneno yale na utovu ule wa nidhamu ni dhahiri umelenga TAASIS kubwa hapa nchini, TAASIS namba moja, TAASIS ya Rais.
Dhambi kubwa duniani ni kuikanyaga na kuisigina katiba ya nchi husika..kinachofanyika hapa ni kumhujumu Rais wa nchi, kumkosesha utulivu wa kuongoza nchi, na kitendo hiki hakina tofauti yeyote na uhaini.
NINAOMBA SANA WAHUSIKA WAKAMATWE, WATU WOTE AMBAO WAMEHUSIKA KUTOA MAONI YA KISHENZI KATIKA KURASA ZA MITANDAO, WATU WALIOCHAGIZA NA KUCHOCHEA TABIA HIZO ZA KIHUNI, WAWAJIBISHWE NA WAPANDISHWE MAHAKAMAN, NA SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE.
Nawasihi sana wananchi wenzangu, tusipende kushadadia mambo ya kijinga ya kutweza utu wa mtu.. tupingane kwa hoja na sio vihoja..Kuendekeza utamaduni huu wa UKOSEFU wa adabu baina ya vijana wetu ni kujenga taifa la hovyo.. Tusikubali TAASIS hii namba moja kudhalilishwa hata siku moja. Tujenge utamaduni wa kuwafundisha watoto wetu na vijana wetu nidhamu, heshima, uzalendo na kuheshimu nembo za nchi pamoja na kuheshimu mamlaka hizi ambazo hata vitabu vitakatifu vinatuhasa tuheshimu.
Kama tukiacha tabia hizi za kishenzi ziendelee matokeo yake huko mbeleni hayatakuwa mazuri.
Kwa kukazia, demokrasia ama utamaduni wa nchi za Ulaya na Amerika na nchi zote za ulimwengu wa kwanza haziwezi kutumika huku na zikafanya kazi vyema kwa sababu lukuki ikiwamo tofauti zetu za kimila na kitamaduni pamoja na makuzi yetu., pia nchi zetu bado changa..Kwahiyo asijitokeze mtu akaleta sheria za huko alipo na kulazimisha zitumike hapa. utandawazi kwa upande mwingine sio sahihi na SHERIA za uhuru za huko nyingine hazikubaliki kabisa kamwe na zisiruhusiwe hapa nchini kwetu, kwani dhahiri haziendani na mambo yetu.
Taasis hii ni kubwa na kamwe asijitokeze mtu anajifanya yeye ni mkubwa sana na aweza kuitingisha na mamlaka zikamnyamazia bila kuchukua hatua stahiki.
NB:Wanawake wa Tanzania, badilikeni na muache kutumika kukandamiza na kuangusha wanawake wenzenu katika kada yoyote Ile. Nasikitika sana kuona baadhi ya wanawake wanashadadia wanawake wenzao kudhalilishwa, kuumizwa, kuonewa na kuharibiwa SHUGHULI zao kila siku. Mtasababisha laana kwa vizazi vyenu. Kumbukeni kwamba mwosha huoshwa na siku zote karma haikoseagi njia. Badilikeni, unganeni na mumuunge mkono mwanamke yeyote anaepata nafasi yoyote bila kumuhujumu..
Nasisitiza kwa mamlaka husika, tunataraji kinachoendelea hakijirudii na kikomeshwe kwa wahusika kuwajibishwa.
Kwa sheria Ipi maana naona Umeweka Maoni Yako Ni Vyema ukasema Sheria Ipi imevunjwa au sehemu gani ya katiba imevunjwa..Hivi karibuni nchini kwetu pamekuwa na utoaji wa maoni kwa uhuru, jambo ambalo ni zuri, lakini sasa uhuru huu umeanza kutumika vibaya, hali ambayo haikubaliki kamwe.

Mi sina Account Twitter wala Instagram. Nimeona watu wanasema namna Mange anavyomdharirisha Rais.Kwa sheria Ipi maana naona Umeweka Maoni Yako Ni Vyema ukasema Sheria Ipi imevunjwa au sehemu gani ya katiba imevunjwa..
Kama hakuna..
Bhasi Naona unatoa maoni yako tu
Tatizo Kubwa ni Kwamba Hii Nchi inaongozwa Kwa sheria na Taratibu Hii ni Nchi ya JAMHURI kwa hiyo Sio NCHI ya Mornachy Sio Ya kifalme..Mi sina Account Twitter wala Instagram. Nimeona watu wanasema namna Mange anavyomdharirisha Rais.
Leo nikadownload Instagram lite, nikasaini in nikaangalia anachofanya japo nimesha iunstall hiyo app.
Ule sio uhuru wa mawazo, yule inatakiwa auawe kwani ni udharirishaji mkubwa sana afanyao kwa Rais. Ukiacha Urais ila Samia ni Mama, Mke, Shangazi, Dada, Bibi, Mkwe, WiFi na Shemeji wa watu. Yule ni mtu mzima, mi kwa umri wangu siwezi mdharirisha vile mtu yoyote hata kama ni msogo kiumri kwangu. Kagame kaweza poteza wapuuzi kama wale, sijui kwanini sisi tunashindwa. Sijui Balozi wetu USA anafanya nini? Anashindwa tafuta mtu akamchome visual tu yule takataka.
Wanaipinga nini? Nawe bwege tu, sijui ni Dr wa nini? Nenda kule kaone anavyomtukana Rais. Ule sio uhuru wa Maoni hata wewe leo Samia ukiacha urais angekuwa mama au dada au bibi yako sidhani kama ungeandika huu upuuzi. Yule inatakiwa auawe tu.Tatizo Kubwa ni Kwamba Hii Nchi inaongozwa Kwa sheria na Taratibu Hii ni Nchi ya JAMHURI kwa hiyo Sio NCHI ya Mornachy Sio Ya kifalme..
So Ndo maana nimeuliza kwa Sheria ipi??
ILi na mimi nijue Sheria inayoWakandamiza wapingaji
Juzi ilikuwa mara ya 3 Kwa madai ya Makonda na habahatishiKatibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa hadhara katika mapokezi yake Jijini Dodoma amesema anawafahamu wanaowalipa vijana ili wawatukane viongozi mitandaoni wakiwemo viongozi wa CCM, Mwenyekiti, Rais Samia Suluhu, Makamu Mwenyekiti Bara, Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti Zbar, Dkt Hussein Mwinyi na Katibu Mkuu Daniel Chongolo
View attachment 2800205
Sasa Mkuu Ubwege wangu Uko wapi??Wanaipinga nini? Nawe bwege tu, sijui ni Dr wa nini? Nenda kule kaone anavyomtukana Rais. Ule sio uhuru wa Maoni hata wewe leo Samia ukiacha urais angekuwa mama au dada au bibi yako sidhani kama ungeandika huu upuuzi. Yule inatakiwa auawe tu.
Kagongwe huko, unanipotezea muda.Sasa Mkuu Ubwege wangu Uko wapi??
Kutaka Kupewa Sheria kuwa Kumtukana Rais ni Kosa Ndo nimekuwa bwege?
Nimehoji kama Raia mwingine ambavyo angehoji..
Kosa langu liko wapi??
Wangapi wanatukanwa Na hamsemi??
Mbowe ametukanwa mara Ngapi??
January Makamba alitukanwa mara Ngapi??
Magufuli alitukanwa mara Ngapi??
Makonda alitukanwa mara ngapi mpaka kuitwa Shoga na Mange??
Kaitwa muuaji mwizi na matusi ya kila aina??
Mange kavujisha Video ngapi za Kudhalilisha watu??
Wangapi wameumia kwa Makovu ya mange kupata aibu ya milele isiyofutika??
Mbona sijasikia mmelalamika..
Leo kuhoji sheria unaniona Bwege..
Kama huwezi kujiZuia na Mijadala Yenye kufikirisha bhasi ni bora kuwaachia wengine wanaoweza
Sasa wewe na Mange mna tofauti Gani?Kagongwe huko, unanipotezea muda.
Chawa kazini