Makonda: Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi. Viongozi wa Dini mniombee!

Makonda: Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi. Viongozi wa Dini mniombee!

Serikali ya Marekani ilikurupuka kumwekea zuio la kuingia US kwa sababu ya rekodi yake ya kuvunja Haki za Binadamu?

Nielimishe
Kwani Marekani ndio nini?

mbona huko Gaza wanapeleka Silaha kuua Watoto waliojificha kwny Makambi waliyowashauri wakajifiche wawe salama?

ukisia Marekani inapigia kelele uvunjifu wa haki za binadamu tambua hizo haki ni madili na ma fursa yao ya wizi na uporaji
 
Lakin msemo wa kiswahili huu.miaka na miaka dahari. Wahebga walisema kelele za chura hazimzuii mwenye nyumba kulala.
Je leo mtu akitumia msemo wa wahenga unautafsir vipi? Misemo ipo na itakukuwepo. Jaribu kuwa unasikiliza kwa umakin na kuchambua mambo
Wewe ndiwe unayechambua siyo Jambo TV 😂😂🔥
 
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.

"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.

Jambo TV
Mwambie atimize kusudi/jukumu alilompa Mungu la kuivunja ccm na kuizika kabla 2025 kwisha!
 
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.

"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.

Jambo TV
Chura tena?
 
ila kweli Lissu ukimtizama vizuri ka chura,
 
Dah hii mpya! Inamaana ndani ya kamati kuu ya chama pendwa kuna chura hata hamsemi😂😂😂
 
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.

"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.

Jambo TV
Alikosa maneno mengine ya kutumia?mpaka kutumia neno vyura.
 
Duh!.. yaani bila Makonda Ccm inapoa ?
Unajuwa sisi wa Tanzania kuna aina fulani ya watu tunawapenda, JPM alipendwa na baadhi ya watu na yeye alijuwa watu wanapenda nini, wanapenda wale viongozi wakali na wanaotoa amri hadharani watu wana enjoy. Wewe unaweza kuwa kiongozi bora kabisa kimaono na kila kitu lakini ukawa mkimya lakini ukafanya mazuri tu sana ila ukatukanwa, utasikia mji umepoa kiongozi mkimyaa. Makonda ndio style watu wanapenda, mtu anaweza kuongea siku moja hotuba yake ikajadiliwa wiki nzima, hii ni promo tosha ya CCM. Unahitaji watu wana namna hii katika siasa, na yeye ndio hasa ana fit kama propagandist wa chama, ndio kazi yake. Neno moja watu wakujadili wiki.
 
Kwenye Kamati Kuu jina lililopendekezwa lilikia na Charamila lakini Mh Rais akaja na jina ambalo hakuna alietegemea ni Makonda, na wengi walipinga mpaka Mh Rais alipotaka watu wapigwe kura za wazi ndipo Makonda akaibuka kidedea kwa Kuta Moja zaidi
Tuliambiwa Majina yalikuwa 2 Makonda na Chalamila ,Bashite akamzidi kura 1 baada ya uchaguzi
 
Ama kwa hakika leo nime enjoy sana wala sijaumia bando.nime enjoy kuona wenye kero wakiitwa na kupewa majibu hapo kwa hapo.hio ndio michakato hat sis bawaacha tunapenda sana.
Sasa ametatua kero gani pale zaidi ya kutaka kuiga alichokuwa akifanya jiwe na mwisho yakamshinda?

Mwenezi anatatuaje kero za wananchi?

Nendeni shule mkapate elimu.
 
Anasikiliza kero kwa cheo gani?. Ila Tanzania tunajiendea Kwenye kata Kuna afisa elimu, afisa Afya , afisa mazingira etc, lakini unamsubiria Katibu Mwenezi aje asikilize kero za wananchi. Tupo nyuma Sana.
Hao wote uliowataja ni wazembe hawatimizi wajinu wao kwaio wananchi waendelee kuteseka
 
Back
Top Bottom