Kwani Marekani ndio nini?Serikali ya Marekani ilikurupuka kumwekea zuio la kuingia US kwa sababu ya rekodi yake ya kuvunja Haki za Binadamu?
Nielimishe
mbona huko Gaza wanapeleka Silaha kuua Watoto waliojificha kwny Makambi waliyowashauri wakajifiche wawe salama?
ukisia Marekani inapigia kelele uvunjifu wa haki za binadamu tambua hizo haki ni madili na ma fursa yao ya wizi na uporaji