Sasa kama waziri anawezaibuka tuu akavunja sheria hii ikojeWaziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.
" Mungu akipenda, wiki ijayo kama wenzetu wakiendelea kuwa na mapambano, basi tutatangaza design kwa wazawa ambao ni Watanzania, kudesign jezi. Alafu sisi tutaingia mtaani kuuza. Sasa kila mtu si atauza ya kwake?"
Mkuu lakini kasema kampuni ya Nike imekubali kutengeneza jezi za Timu ya Taifa, kama ni kweli basi ni jambo zuri sana nasisi tutakua na Jezi nzuri kama za Ulaya. Kuliko za huyu Sandaland ambazo kabandika nembo yake kwenye Jezi yetu ya TaifaTatizo ile mijezi mibaya
Bashite anadhani ni rahisi hivyo?
Aingize jezi zake mtaani aone moto!
na kuna jezi rasmi zinazotambuliwa na fifa... na mzabuni rasmi (sandaland) mwenye mkataba na Tff ambae ni mwanachama wa fifa...
Huyu anatafuta KUFILISIWA!
Sasa mkuu Takukuru wakimpa kesi ya Uhujumu Uchumi Karia hao FIFA watakuja kumtoa?Uzuri Sandaland mteja wake ni tff.Tff inajua kuwa FIFA haimtambui waziri inamtambua Rais wa Tff
Mkuu Makonda kasema Nike wamekuballi kutengenza jezi zetu na nijambo zuri sanq, inaonekana Tff hawataki kampuni za kimataifa wapate tenda za kutengeneza jezi, ni sawa na Timu zetu za Simba na YANGA viongozi wao hawataki jezi zao zitengenezwe na Kampuni kubwa wanajua watakosa pesaMakonda anachotafuta ni kupunguza mauzo ya Sandaland kwa sababu katika mkataba baina ya TFF na Sandaland ni kwamba TFF haiingii gharama yeyote kwenye kutengenezwa kwa vifaa vya michezo vya timu za Taifa...
Sandaland yeye kainject mzigo fulani wa pesa mahsusi kutengeneza jezi na vifaa vingine, hela yake anairudisha kwenye mauzo ya hizo jezi...
Sasa Makonda anataka kuleta ushindani kwa kutengeneza mbadala wa jezi ambazo naamini anataka kulenga zivaliwe na mashabiki pekee...
Hii ni kielelezo cha nchi ambayo kila mwenye mamlaka anaweza amua tu afanye nini...
Mimi hata bure siwezi kuvaa laana za Makonda.Kama Makonda anataka hivyo labda jezi zake zitavaliwq na wachezaji tu qu atakuwa anagawa bure
Wananchi watanunua Mfano Adidas, Puma au Nike mmoja wapo apewe Tenda ya kututengenezea jezi mimi mwenyewe nitanunua kwanza zitakua nzuri sana, kwanza hizi kampuni ni kubwa na zinaizoefu wa kutengeneza vifaa vya Michezo, we uoni kama Far Rabat, Mamelod, Zamaleki jezi zao ni nzuri sana.Kama Makonda anataka hivyo labda jezi zake zitavaliwq na wachezaji tu qu atakuwa anagawa bure
Serikali haitowi tender kwa matakwa ya Makonda, mwambieni huyo pimbi wenu serikali ina regurator wa manunuzi Ppra asidhani wizara ni mali yake.Mkuu Makonda kasema Nike wamekuballi kutengenza jezi zetu na nijambo zuri sanq, inaonekana Tff hawataki kampuni za kimataifa wapate tenda za kutengeneza jezi, ni sawa na Timu zetu za Simba na YANGA viongozi wao hawataki jezi zao zitengenezwe na Kampuni kubwa wanajua watakosa pesa
Akili ipi?Akili kubwa sana Mheshimiwa
Haya ni matatizo ya Mama anajitakia, anamjuwa mtoto wake ni kimeo basi angemuacha hukohuko kwenye uenezi wa ccm wauwane vizuri.Sema tu Samia ana matatizo huyo bwana hajawahi kuwa na akili, atamharibia bosi wake hataamini. Bashite hana uwezo wala kaliba ya cheo cha uwaziri. Wanamwogopea uchawi? Ht kule nje ni kutuaibisha tu!
Kauli ya mtu aliyeshindwa ila anatanguliza cheo kwenye mjadala na ushindani huoWaziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.
" Mungu akipenda, wiki ijayo kama wenzetu wakiendelea kuwa na mapambano, basi tutatangaza design kwa wazawa ambao ni Watanzania, kudesign jezi. Alafu sisi tutaingia mtaani kuuza. Sasa kila mtu si atauza ya kwake?"
kwanza anajua ugumu wa kuuza jezi? au anategemea kuwauzia taasisi za serikali kilazima?Kama Makonda anataka hivyo labda jezi zake zitavaliwq na wachezaji tu qu atakuwa anagawa bure
Kwenye uchawi hii nimeambiwa/ na watu wa ndani wa kuaminikaSema tu Samia ana matatizo huyo bwana hajawahi kuwa na akili, atamharibia bosi wake hataamini. Bashite hana uwezo wala kaliba ya cheo cha uwaziri. Wanamwogopea uchawi? Ht kule nje ni kutuaibisha tu!
Aendelee kutumia ma influencer kuuza jezi zake mbovu, mbaya hata uzito wa madekio hayafikii.Akili ipi?
kama anatengeneza jezi mbaya mkataba unavunjwa tu, uingie mkataba halafu utengeneze jezi mbaya halafu uachwe tu?Hivi unajuwa hata maana ya mkataba?