Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

Huyu hat
Huyu hatoboi kwa kweli mwezi huu nipo hapa
 
Bashite kumbe akili Hana?
 
kama anatengeneza jezi mbaya mkataba unavunjwa tu, uingie mkataba halafu utengeneze jezi mbaya halafu uachwe tu?
Hakuna mfanyabiashara anayekataa kuvunjiwa mkataba, lakini mkataba huohuo una vipengele vya kuuvunja malipo yake.

Mnataka kuturudisha kulekule kwa kina Ristam Aziz.

Hakuna mfanyabiashara anaingia mkataba wa kibiashara bila wanasheria wake kuupitia kabla ya kuusaini.

Nyinyi endeleeni kumvimbisha makalio huyo tutusa wenu lakini faini tutalipa Watanzania wote kwenye mahakama ya biashara.
 
Huyo sio mtu mdogo. Fikiria alivamia clouds akiwa na askari wa Tisss wamemsindikiza.

Imagine mtu anaweza ku amrisha mpaka idara nyetii wafate maagizo yake.
Ni mtu mdogo tu. Mbona alipigwa chini kwenye kura za maoni Kigamboni? Nje ya system Hana lolote.
 
TFF ndio alitakiwa kulalamika sio Waziri. Waziri hausiki na mkataba.
 
Hilo wazo hawakuwa nalo hapo mwanzo? Wamesubiri jezi zimetoka ndio wanaanza kelele
 
Mnafitina sana na unafiki sana. Haya mmeyajua baada ya Sandal and kutoa jezi zake? Hii nchi kweli vichaa ni wengi.
 
Nani kawazuia kufanya hivyo? Mkataba umesainiwa mwaka 2023, mlikuwa wapi kusema hayo mpaka muibukr Leo jezi zimetoka?
 
Maswala ya biashara ilitakiwa wakae wao na si kuita waandishi wa habari na kuzungumza kila mtu anavyoona yeyr wameshindwa kufanya vitu professional wataweza kutengeneza Jezi zenye ubora kweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…