Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

Makonda alikuwa wapi siku zote. Halafu mambo mengine angeongea pembeni.
 

Nike watatengeneza kwa aina ya mkataba kama huu ambao TFF haitoi pesa yeyote au mwingine wa Nike kulipwa na TFF?
 
Nike watatengeneza kwa aina ya mkataba kama huu ambao TFF haitoi pesa yeyote au mwingine wa Nike kulipwa na TFF?
Sijajua Mikataba Ya hizo kampuni mfano Nike wakitengeneza jezi wana lipwa vipi, naamini tunaweza kama Timu ndogo zimeweza sisi kama nchi tunaweza
 
Mnafitina sana na unafiki sana. Haya mmeyajua baada ya Sandal and kutoa jezi zake? Hii nchi kweli vichaa ni wengi.
Fitina ni hao TFF ambao hawakutangaza Tenda ili kampuni ziombe, Tenda ingetangazwa Makampuni Makubwa yangejitokeza kwasababu Timu yetu ya Taifa inacheza Mashindano makubwa pamoja na Timu kubwa Mfano Senegal, Egypt, Morroco.
 
Sisi tutavaa za sandaland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…