Makonda tunajua ukimya wako wa ghafla si wa kawaida

Makonda tunajua ukimya wako wa ghafla si wa kawaida

Kama uko hapo Butuguri Kijijini Kwetu huko Uzanakini nisalimie sana Ndugu zangu akina Mang'ombe, Nyamagara, Kiriba na Obyai. Pia upite hapo kwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI-AFYA Dr. Charles Wilson Mahera waambie wote kuwa Ndugu yao Tukuka GENTAMYCINE nawasalimu mno na waiambie Mizimu yetu ya Muhunda izidi Kunilinda na Kunibariki.
Dah! Umenikumbusha yule mzee aliejenga OSWALD Mang'ombe na zile CHIEF wanzagi. Nilimkubali sana mtalam mzuri wa sheria.

Sawa mkuu but uwe makini kuhusu ugari wa watu.
 
Nina Nguvu Kubwa na Kali za Mungu na Mizimu ya Kwetu Mkoani Mara na kule Mkoani Mtwara bila kusahau Maujuzi ya Kimedani kutoka kwa Boss wangu Mwembamba Mwerevu hapo Jirani tu wanakotoka Werevu wanaoitaka Afrika Mashariki hii yote iwe ya Ng'ombe, Maziwa na Asali tupu.
Boss mwembamba angekuwa anaishi miaka mia nne lengo huwenda lingetimia
Lakini pale alipo maji ya jioni akianguka tu habari imeisha
 
Nilishasema kuwa watafichwa Watu wote juu ya yanayoendelea ila siyo Malaika mpendwa mimi wa Mwenyezi Mungu GENTAMYCINE, ila nikisema hivi huwa mnaniona kama vile hamnazo (nimedata) Kunakotukuka.

Kama kuna Kosa kubwa na la Kiufundi ambalo CCM na hasa Rais Samia (Mwenyekiti CCM Taifa) alilifanya ni kuamua kumteua Paul Makonda ambaye ana 95% ya Maadui ndani ya Serikali, Mfumo, Mafia na Mafisadi wakubwa Tanzania ni kumteua kuwa Katibu Mwenezi na Itikadi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Ukiona unapewa Cheo cha Lawama huku unasakiziwa wewe ndiyo uwe unawatisha, unawadhalilisha na unawatukana wenye kuijua vyema Tanzania na Mafundi wa Matukio ya Hatari duniani jua Uhai wako uko Mashakani sana na kwamba kilichofanyika ni kukutafutia tu haraka Tiketi ya Wewe Kufa ili uwaondolee Kero zako za Kiburi Jeuri na Dharau.
Pamoja na utetezi hapa mtu hajadata tuu🤓
 
Kwa kiingereza yasemwa “he entered uncharted waters”.

Kwenye siasa khasa hizi zenye mifumo ya Kleptokrasia mwanasiasa au anaedhania kuwa yeye ni mwanasiasa ni lazima awe na washauri werevu maana wao watamsaidia kuchunga kauli.
 
Unakujua huku kote? Au umetumia I'd mbili MOJA kujitajia eneo na I'd nyingine kulifafanua !
Kama uko hapo Butuguri Kijijini Kwetu huko Uzanakini nisalimie sana Ndugu zangu akina Mang'ombe, Nyamagara, Kiriba na Obyai. Pia upite hapo kwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI-AFYA Dr. Charles Wilson Mahera waambie wote kuwa Ndugu yao Tukuka GENTAMYCINE nawasalimu mno na waiambie Mizimu yetu ya Muhunda izidi Kunilinda na Kunibariki.
 
Kama kuna Kosa kubwa na la Kiufundi ambalo CCM na hasa Rais Samia (Mwenyekiti CCM Taifa) alilifanya ni kuamua kumteua Paul Makonda ambaye ana 95% ya Maadui ndani ya Serikali, Mfumo, Mafia na Mafisadi wakubwa Tanzania ni kumteua kuwa Katibu Mwenezi na Itikadi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Huyu "mpakwa mafuta" (nukuu toka thread ya P. Mayalla 👉🏼 Hapa🙂, Law #1 inamhusu| The Hidden Path to Power: Why Outshining the Master Isn't What You Think
1709217327839.png
 
Binafsi nilipewa maiki kuhutubia wakaniwekea vumbi kumbe muwekaji hakuwa mzoef akaniwekea vumbi la Congo nikaishia kusimamisha mkuyenge na kuanza kumtongoza mgeni rasmi.
Hii ilimpata fid q mwanza

Akafukuzwa na kukosa show zote kil music tour na aliumia Sana

Alifika stejini akawasalimia wakazi wa mambo vipi dare ss alaam

Na mwisho alishindwa kuimba so tuwe makini sana
 
Back
Top Bottom