Makonda tunajua ukimya wako wa ghafla si wa kawaida

Nilipata nusu ya wazo hili hasa baada ya ile ajali kusini....
 
Alipochemka ndugu Bashite ni kusema yeye kufa bado sana i.e Hawamuwezi. Sayansi ya kuua watu mashuhuri huwa inabebwa sana na kauli kama hizo. Anaweza kujifunza kwa njia ngumu sana
Na hajafa, angekua lofa ile siku angeondoka,, sema kitu kika backfire ikatokea misiba fulani imeongozana,,,,wa lile eneo wanachemshiwa dawa yao,,,,,maana Magu ukanda ule ule na Makonda ukanda ule ule, ukiwa mwanajeshi kifo sio cha kuogopa anajipanga
 
Hilo wasema Wewe, ila ninachojua tu ni kwamba kwa Vita vya Kimataifa vilivyoko CCM na Tamaa ya Vyeo kwa mwaka 2025 baada ya Uchaguzi Mkuu na hasa hasa Vita vya Urais wa 2030 kuna Vifo vya Waandamizi Wanne nilivitabiri na naendelea Kuvitabiri.
Tabiri tena kiongozi
 
Sijui unazijua kazi ya msemaji wa chama?
 
Kwa sasa hata ibilisi keshapata hati ya mashtaka juu yake....wazee tunaona mbali......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…