Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Tuone picha ya ghorofa basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.
Kwa ninavyowafahamu Wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.
Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.
Kila la kheri
Kwa iyo wewe unaamini mwaka 2013 makonda alikua na 120m za kununua kiwanja regency estate? Je mwaka 2013 unapata kuwanja regency estate kwa 120m? Acha kutumia masabuli kufikiria broo
Maswali ni mengiKosa la makonda ni kutokufanya transfer kwa wakati.
Jamaa wametumia hiyo loophole kumtingisha.
Ila kama signature za GSM ni authentic na alisaini bila kushurtishwa.
Basi Makonda ana haki.
Bashite aliturusha roho sana tusio na kazi mpaka mjini, sijui alijiamini vipi kusema atatufukuza turudi kijijini [emoji3]
Hakuna vita yoyote acha kumfariji kinachotakiwa ni kuonesha documents halali basi.Hii vita ni zaidi ya uijuavyo hivyo tulia
Nyaraka za transfer za Bashite zinaonesha hivyoDah kiongozi hapa ndio umenivuruga kabisa..
Yani 2006 walinunua Kwa million 500, wakaja kuuza Kwa million 120 mwaka 2013? Hesabu ya ardhi huwa haikai hivyo bhana..
Sent using Jamii Forums mobile app