Tetesi: Makonda Waziri Mkuu 2025-2030

Tetesi: Makonda Waziri Mkuu 2025-2030

Naingia kwenye mada kwa ufupi. Hakuna haja ya maelezo marefu wakati kila kitu kiko wazi. Siku zote sio lazima umuombe adui yako njaa ili wewe ufanikiwe. Kuna wakati unaweza kumuombea njaa ukaumia wewe mwenyewe na ukamuombea shibe ukanufaika.

Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya mpinzani mkubwa wa Makonda kwenye mbio za ubunge wa jimbo la Kigamboni kuteuliwa kuwa Mkutugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Dr Faustine Ndungulile alikuwa anamnyima usingizi Makonda pale Kigamboni. Sasa jimbo liko wazi.

Katika siku za karibuni Makonda alipotea kwa takribani mwezi mzima kwa kisingizio kwamba alikuwa likizo. Sasa imebainika dhahiri kuwa hakuwa likizo bali alikuwa amejifungia mahali akifanya maombi na kufunga akimuombea Dr Ndungulile afanikiwe kuwa Mkurugenzi wa WHO amuachie jimbo. Maombi yake yametimia kwa 101%.

Pia mtakumbuka siku za karibuni Makonda alifanya maombi maalumu ya kuwa Waziri Mkuu mwaka 2025-2030. Maombi haya yalienda sanbamba na maombi ya kumuondoa Ndungulile pale Kigamboni. Mungu amejibu maombi 💯%.

Kwa mtaji huu, 2025 Makonda atapita kule Kigamboni bila kupingwa na atateuliwa na Rais kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia 2025 hadi 2030

Mungu hamtupi mja wake na hajamtupa Makonda. Wale matomaso msioamini nguvu ya maombi na nguvu za Makonda katika maombi, sasa muanze kumsalimia kwa heshima. Ndiye Waziri mkuu ajaye. Shikamoo Mh Waziri Mkuu, Paul Christian Makonda! Wabeja kulumba Baba!
Atakuwa Waziri mkuu wa wafungwa wenzake gerezani Ukonga au Kisongo Arusha...

Au anaweza hata kwenda kuwa Waziri mkuu wa malaika wa kuzimu iwapo hatachukua hatua mapema kutengeneza upya maisha yake....!
 
M
Naingia kwenye mada kwa ufupi. Hakuna haja ya maelezo marefu wakati kila kitu kiko wazi. Siku zote sio lazima umuombe adui yako njaa ili wewe ufanikiwe. Kuna wakati unaweza kumuombea njaa ukaumia wewe mwenyewe na ukamuombea shibe ukanufaika.

Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya mpinzani mkubwa wa Makonda kwenye mbio za ubunge wa jimbo la Kigamboni kuteuliwa kuwa Mkutugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Dr Faustine Ndungulile alikuwa anamnyima usingizi Makonda pale Kigamboni. Sasa jimbo liko wazi.

Katika siku za karibuni Makonda alipotea kwa takribani mwezi mzima kwa kisingizio kwamba alikuwa likizo. Sasa imebainika dhahiri kuwa hakuwa likizo bali alikuwa amejifungia mahali akifanya maombi na kufunga akimuombea Dr Ndungulile afanikiwe kuwa Mkurugenzi wa WHO amuachie jimbo. Maombi yake yametimia kwa 101%.

Pia mtakumbuka siku za karibuni Makonda alifanya maombi maalumu ya kuwa Waziri Mkuu mwaka 2025-2030. Maombi haya yalienda sanbamba na maombi ya kumuondoa Ndungulile pale Kigamboni. Mungu amejibu maombi 💯%.

Kwa mtaji huu, 2025 Makonda atapita kule Kigamboni bila kupingwa na atateuliwa na Rais kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia 2025 hadi 2030

Mungu hamtupi mja wake na hajamtupa Makonda. Wale matomaso msioamini nguvu ya maombi na nguvu za Makonda katika maombi, sasa muanze kumsalimia kwa heshima. Ndiye Waziri mkuu ajaye. Shikamoo Mh Waziri Mkuu, Paul Christian Makonda! Wabeja kulumba Baba!
Marekani hakanyagi tena mpk kifo,ila wale jamaa wanatujua nje ndani wanatuzoom tu
 
Labda waziri mkuu wa Burundi. Nini Tanzania hata Malawi hatoshi kuwa waziri wa wasichana.
 
Unaota ndoto za mchana,haziwagi kweli abadani!
 
Back
Top Bottom