Issue sio kuuza hata hayajawa cleared na Ushuru pia ukute hata sio ya hapa ni kwenda nchi jirani! Utasema ameficha mkuu?? Tuache siasa kwenye business na economy! Vipi kama alinunua kwa bei ya juu zaidi ya elekezi ya 1,800? Ataendelea kuuza tu!Mbona hawauzi sasa?
kwa maono yangu madogo na kielimu changu cha kubabaisha nadhani sasa ifike muda sasa hizi public stunt zinabidi kupunguzwa nadhani hii ni serikali ya kazi tu..lets promote good working conditions kuliko kuchafuliana majina nadhani wengi waliamini watu wanaficha sukari lakini hao polisi na TRA( ambao ndio serikali) wanaoshughulikia suala hilo wanapingana..nadhani kabla ya kutangaza sukari imefichwa lazima serikali iulize na ichunguze kwanini ana hifadhi sukari nyingi na kama kweli haiuzi..Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amebaini sukari zaidi ya makontena 115 iliyofichwa kwenye bandari kavu ya PMP, Mkuu wa Mkoa ametoa taarifa kuwa kuna zaidi ya Makontena 162 na sio 115 kama ilivyoripotiwa hivyo ameagiza zoezi la ukaguzi wa sukari liendelee kwenye Bandari kavu hiyo.
Kama wazungu walivyogundua ziwa victoria.VItu vingine ni ujinga tu.
Eti amegundua,,,,He has discovered.. hahahahahaha
Yale yale ya Christopher Columbus unakuta tayari kuna Binadamu wanaishi America unadai umevumbua nchi.VItu vingine ni ujinga tu.
Eti amegundua,,,,He has discovered.. hahahahahaha
wakisubiria uchunguzi,ukweli utakuwa hadharani,na unafikiri nyago watauza?kwa maono yangu madogo na kielimu changu cha kubabaisha nadhani sasa ifike muda sasa hizi public stunt zinabidi kupunguzwa nadhani hii ni serikali ya kazi tu..lets promote good working conditions kuliko kuchafuliana majina nadhani wengi waliamini watu wanaficha sukari lakini hao polisi na TRA( ambao ndio serikali) wanaoshughulikia suala hilo wanapingana..nadhani kabla ya kutangaza sukari imefichwa lazima serikali iulize na ichunguze kwanini ana hifadhi sukari nyingi na kama kweli haiuzi..
nadhani tukiacha siasa na public stunt na kufanya kazi kwa bidii lazima yatafichuka mengi sana,
ahahaa ahaa haaa.....sasa huku kuuza nyago wakati mzigo upo sehemu inayokuwa controlled na serikali nakusema imekutwa kutawatoa jasho siku moja watakuja kumlipa mtu fidia kubwa sana...nakuanza kutumbuana wenyewe kwa wenyewewakisubiria uchunguzi,ukweli utakuwa hadharani,na unafikiri nyago watauza?
Halafu tutakuja lalamika nchi jirani zinaacha safirisha mizigo yake bandari zetu, tusiingilie kazi za watu sio kila sukari inayoletwa ya wizi au imefichwa zingine zinaenda nchi jirani.Watakamata hadi sukari inayoenda Zambia au Rwanda ,halafu watasema ilifichwa kumbe ilikuwa kwenye mchakato wa kusafirishwa.
Serikali iache kufanyia kazi kwa mizuka.
ni mwendo wa kufatisha kiitikio Mkuu,1,2,3...... haya twendeeee!!hahahahahaha...eti imefichwa bandarini....hawa wakuu wa mikoa hawana hata JD...leo president akifanya hili na wao haooooo.....mkumbo....this is very very dangerous
Ni njia ya kukwepa kodi tu, kama hujui mi najua zaidi yako. Haiendi kokote, na kama huamini fuatilia.Wauze wakti inapita kwenda Nchi zingine. Ni transit Good hiyo. Kama hujui maana yake GOOGLE
Kama unajua sema, hii ni JF where people dare to speak freelyNi njia ya kukwepa kodi tu, kama hujui mi najua zaidi yako. Haiendi kokote, na kama huamini fuatilia.
Akhsante mkuu kwa mrejeshoIle ishu Paul Makonda aliumbuka pale yule mzee wa ki Islam alipomjibu kuwa, "nimenunua hii sukari kwa ajili ya kwenda kutoa sadaka"
Paul Makonda ikabidi abadili kosa, sasa anamlaumu yule mzee wa ki Islam kwa kuweka sukari ghorofa ya 6 katika nyumba isiyoisha.
Jamani, tani 4 ni sawa na 4,000kg
4000kg * 2000 Tshs = 8,000,000 Tshs
Wakati mwingine watu wawe wanatumia akili, sio kutaka kick kwa 8mil. Waende huko kwenye migodi ya Barrick ambapo kuna upotevu wa mabilioni.
Hayo itakuwa serikali ndiyo imeyaficha, washtakiwe. Maana bandari kavu zipo chini ya usimamizi wa idara za serikali.