Marley joseph
Senior Member
- Feb 9, 2019
- 126
- 137
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiseeKuna jamaa ananiambia 50000 anakula mbunye 10 each inakula 5000 sasa kutumia 50000 na zaidi kwa pisi moja tu tafsiri yake ni kutojua thamani ya pesa yako.
Mnasapoti ndio...ila kuna hizi helkopta za huku kwetu umetuma hata laki anamute njwiiii kama kobe anatunga sheria.LIKUD upo sahihi..You have to outsmart women's thinking each time.
Hiyo elfu hamsini inatoka wapi Kaka?
Narudia Tena......Nikupe ya wakala utoe moja kwa moja
Vitu vitamu hivyooo....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]umenifananisha au
Ishi humu. Hichi kitabu alikipost mwamba demigod Aisee nimekisoma kama mara nne na bado huwa nakipitia.Mkuu hii approach yako nimeipitisha japokuwa mimi sio mtu wa hizo mambo ila kuna maarifa umenipa bila shaka nitayatumia kwa wife.
Mana wife akiniomba hela nikimtumia nakuwaga na uswahili ambao wewe umeukataza,sasa natumia maarifa yako mkuu.
BTW kuna kitabu chochote kinazungumzia namna ya kumtongoza mwanamke mkuu ?
Nataka niwe kisima cha maarifa
Hawa ndo matapeli wanaozungumziwaNikupe ya wakala utoe moja kwa moja
For sureHapo kosa kubwa ni kutuma nauli.
Mwanaume unatakiwa udili na yule mwanamke aliyetayari kufanya lolote kwa gharama zake ili kuwa karibu na wewe.