Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

Mkuu hii approach yako nimeipitisha japokuwa mimi sio mtu wa hizo mambo ila kuna maarifa umenipa bila shaka nitayatumia kwa wife.

Mana wife akiniomba hela nikimtumia nakuwaga na uswahili ambao wewe umeukataza,sasa natumia maarifa yako mkuu.

BTW kuna kitabu chochote kinazungumzia namna ya kumtongoza mwanamke mkuu ?

Nataka niwe kisima cha maarifa
Ishi humu. Hichi kitabu alikipost mwamba demigod Aisee nimekisoma kama mara nne na bado huwa nakipitia.

Utazielewa hizi principle alizoziongelea LIKUD na kwanini zinafanya kazi. Hasa ile sentensi ya mwishoni "ataamini una access na wanawake wengi" tena possibly wazuri kumzidi, na hii ndio siri.View attachment the-rational-male-tomassi-rollo.pdf
 
Niliwahi kuufanya ujinga wa hivo miaka kadhaa imepita, sema namshukuru mama Mariam hakuamua kufanya utapeli alisafiri toka Mwanza to Dar kuniletea kitumbua kikaliwa siku nne akageuka kurudi kwake
 
Back
Top Bottom