Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

Kwanini umemaliza na kumtag mwanamke mmoja? Unataka kusemaje? Unataka tuwazeje? Kwamba ndiye ulomuita na kakosa mia 6 ama buku inne? πŸ˜’
 
Tabu zote hizo Kwa Ajili ya nini hasa?

Mimi ukiniambia Sina nauli unakuwa umenisaidia na delete na Namba uzuri wanawake wako wengi na hawafanani tabia au hulka.
 
Hellow

Wanaume wa dar mwanamke yupo tegeta wewe upo makumbosho unamuita et anaomba nauli mlushie si utapeli uhu nauli 600 kwa daladala bolt 4000 wanawake mnazingua

amadala
Kwenye kikao chetu tulikubaliana hata kama nauli ni aftatu lazima itumweπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…