Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SitumiSasa si umtumie 😀😀😀😀we si ndo unaemuita
HAHAHAHHAHAHAH unawaza mbalinsanKwanini umemaliza na kumtag mwanamke mmoja? Unataka kusemaje? Unataka tuwazeje? Kwamba ndiye ulomuita na kakosa mia 6 ama buku inne? 😒
Tabu zote hizo Kwa Ajili ya nini hasa?Kama umetuma nauli Na mwanamke hajaja ghetto basi wewe ndio mwenye makosa Na sio mwanamke ambae hajaja ghetto.
IPO namna ya kutuma nauli ambayo uki I apply mwanamke lazima aje ghetto.
( HAPA NAMZUNGUMZIA MWANAMKE AMBAE NDIO ANAKUJA GHETTO KWAKO KWA MARA YA KWANZA. )
Kabla sija elezea mbinu hiyo ngoja Nianze kuelezea makosa wayafanyayo wanaume katika kutuma nauli.
KOSA LA KWANZA: Kutuma nauli kamili.
Kwa mfano mwanamke anaishi Moro wewe upo Dar. Nauli ya kutoka Dar Hadi Moro Ni Tsh elfu Saba. Wewe unamtumia sh elfu 9 Na Mia name au elfu Kumi ili atoe elfu Saba kamili. Hapo mwanamke hawezi kuja. Unemtumia Hela ya kununulia Bando. Atakuona kapuku
Ifahamike kuwa mwanamke anaeomba nauli anapo kuomba nauli lengo lake anataka kujua kama una Hela au huna. Wewe kwakuwa lengo lako Ni Kula papuchi unatakiwa kucheza Na akili yake. Muonyeshe kwamba una Hela..( aliwahi kusema Cassanova ukitaka kumtongoza mwanamke usitumie akili yako, tumia akili yake)
Unapo mtumia nauli kamili anajua hapo hamna kitu Na anajua hata akija utakula papuchi Na utaishia kumpa Hela ya Kula.
Ufanye Nini Sasa?
Cheza Na akili yake. Si anasema yupo Morogoro sio? Nauli ya Moro Ni sh elfu Saba sio? Wewe mtumie sh elfu 55 ili atoe elfu 50 kamili.
Hapo utakuwa umeiteka akili yake tayari. Umesha confirm kwenye mind yake kwamba una Hela. Usisahau mwanamke huwa anafanya maamuzi Kwa kutumia hisia
KOSA LA PILI: Kumpigia simu baada ya kumtumia Hela ili kumuuliza kama ameiona Hela.
Come on man, si umetuma mwenyewe kwenye simu yako? Kwani simu yako haionyeshi kama Hela ameisha ipokea? Au kama umetuma Kwa wakala, wakala si amesha kwambia kwamba Pesa imefika. Wewe swali la kumuuliza Ni " nikutumie Pesa kwenye namba ipi?" Akikujibu muulize itatoa Jina Gani full stop. After that wewe fanya muamala Kisha kaa kimya. May be u can tell her nakutumia nauli Sasa hivi... Hapo utakuwa ume mchanganya Zaidi, atazidi kuamini wewe una Hela Kwa Sababu unemtumia Hela nyingi Na Wala hujampigia simu kumuuliza kama kapata.
Ukitaka kumchanganya Zaidi, akisha pokea Pesa then akakupigia, usipokeee, after 3 missed call or something mtext mwambie upo busy kidogo utamjulisha ukiwa free.. hapo mkuu utakuwa umeiteka akili yake chini ya MIGUU yako.
KOSA LA TATU: Kupiga simu Na kumuuliza atakuja gheto SAA ngapi au lini? Come on man bro, mlisha kubaliana kabla ya kumtumia Hela So you don't need to remind her again ukifanya hivyo utaonyesha you are desperate . Usimuonyeshe kwamba una usongo nae Sana..
Subiri yeye mwenyewe atakupigia kumwambia anakuja..
Kwanini hawezi kuacha kuja ukimfanyia hivyo?
Kwa Sababu anajua akifanya hivyo atakuwa amepiga teke gunia la Hela. Kwa jinsi ulivyo mtreat Aamini wewe Ni mwanaume ambae una access Na wanawake wengi Na unaweza kumpata mwanamke yoyote unae mtaka wakati wowote Na atajiona mwenye Bahati kukutana Na MTU kama wewe. Hapo atakuwa anapiga hesabu za mizinga ya baadae mikubwa mikubwa..
Anyways kutuma nauli ni sacrifice. The law of sacrifice states that the larger the sacrifice the higher the wage
Kwani wewe uko wapi tena mi niko kigoma wewe ulisema uko dar eeeh!😅😅😅😅Hebu nitumieni na mie hizo nauli[emoji28][emoji28]
Dar kigoma nauli ni sh ngapi vile 😂😂Kwani wewe uko wapi tena mi niko kigoma wewe ulisema uko dar eeeh!😅😅😅😅
Niliambiwa ni laki mi nitatuma laki 3 kama mtoa mada alivosema 😆😆😆Dar kigoma nauli ni sh ngapi vile 😂😂
Nikutumie namba ya wakala ili usikatwe eh😅😅
Natambua boss wanguKama unataka kuflash kichupa alf nne sio ela kabisa
Ahahhah nimecheka ase ahahahah nauli 80000Dar kigoma nauli ni sh ngapi vile 😂😂
Nikutumie namba ya wakala ili usikatwe eh😅😅
😀😀😀😀😀Niliambiwa ni laki mi nitatuma laki 3 kama mtoa mada alivosema 😆😆😆
Kama ni demu wa kichagga haji 😁😁Kama umemtumia Hela ndogo ni Sawa ila kama umemtumia Pesa ndefu lazima aje
😀😀😀😀😀afanye haraka nikate ticket mieAhahhah nimecheka ase ahahahah nauli 80000
Tuma nauli mkuu acha ubahiliTabu zote hizo Kwa Ajili ya nini hasa?
Mimi ukiniambia Sina nauli unakuwa umenisaidia na delete na Namba uzuri wanawake wako wengi na hawafanani tabia au hulka.
Ahahahahahah dah nenda kwa wakala wa lipa namba atoe pesa.😀😀😀😀😀afanye haraka nikate ticket mie
Mimi sana sana ukisema huna ntakwambia chukua boda nakuja kulipa ila siwezi tuma nauli maana hapo una uhakika wa kuliwa na haji.Tuma nauli mkuu acha ubahili
Bora hivoMimi sana sana ukisema huna ntakwambia chukua boda nakuja kulipa ila siwezi tuma nauli maana hapo una uhakika wa kuliwa na haji.
Bahati nzuri yangu nimeumbwa Nina jeuri Kwa hiyo hakuna mwanamke wa kunibabaisha hapa Duniani sijuagi kupenda Kwa staili hizo Wala kulilia mwanamke siweziBora hivo