Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

kutoka ef9 ya Moro mpaka 55 umepiga pakubwa sana Bwana mkubwa [emoji2]
hata 35000 italeta matokeo, kwa nilivoelewa ile kumuwin kisaikolojia ina nguvu sana ,kama kuto kuuliza kama kaipata, au ataanza ondoka saa ngapi nk au akikupigia usipokee simu zake kadhaa kwamba uko bizi.
Japo kulizwa kunaweza tokea (ajali kazini)ila naamini by the law of average italeta matokeo chanya
 
Yan leo nna hasira kinoma, Bora kuwa malaya kuliko kumtegemea mtu mmoja..Anyways umenikumbusha mbali sana siku moja wakati bado nina michezo ya hatari nlienda kiwanja nikamwona dada wa mtaani yupo na wana(alipita akiwa anaenda washroom) nlikuwaga namtaka ila sikuwah kupata muda wa kuongea nae, nikasoma mchezo alipokaa nikaona kama jamaa wanasua sua..nikavuta subra, nkajua tu lazima atapita tena, alivyopita tena nikamnong'oneza huku namshikisha elfu arobaini "kama jamaa watashindwa kukurudisha nyumbani hiyo ndio nauli yako", akachukua simu yangu akajitext...mida mibovu kapiga simu nakuja njoo ufungue mlango...Achana na mchezo wa pesa mkuu wanawake wanaupenda...
 
Mkuu hii approach yako nimeipitisha japokuwa mimi sio mtu wa hizo mambo ila kuna maarifa umenipa bila shaka nitayatumia kwa wife.

Mana wife akiniomba hela nikimtumia nakuwaga na uswahili ambao wewe umeukataza,sasa natumia maarifa yako mkuu.

BTW kuna kitabu chochote kinazungumzia namna ya kumtongoza mwanamke mkuu ?

Nataka niwe kisima cha maarifa
 
Tumia falsafa ile ile uliyomtongozea wife, kutongoza mwingine mkuu.
 
Sio wanawake. Najua kuhusu nguvu ya lugha ya Pesa. Pesa Ni lugha inayo jitegemea. Unaweza kutumia lugha ya Pesa " money language" kucommand akili ya mwanamke ifanye Kile unacho kitaka
Kutana na mwanamke aliyejeruhiwa kisawasawa alafu tumia pesa utakuja kutuletea ushuhuda
 
Huo ndiyo uanaume, lakini kwanini mnapenda match za mbali?
 
Vipo vingi Sana Na waandishi wenye experience ya kutosha kuhusu wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…