Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata 35000 italeta matokeo, kwa nilivoelewa ile kumuwin kisaikolojia ina nguvu sana ,kama kuto kuuliza kama kaipata, au ataanza ondoka saa ngapi nk au akikupigia usipokee simu zake kadhaa kwamba uko bizi.kutoka ef9 ya Moro mpaka 55 umepiga pakubwa sana Bwana mkubwa [emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo elfu hamsini inatoka wapi Kaka?
Mkuu hii approach yako nimeipitisha japokuwa mimi sio mtu wa hizo mambo ila kuna maarifa umenipa bila shaka nitayatumia kwa wife.Kama umetuma nauli Na mwanamke hajaja ghetto basi wewe ndio mwenye makosa Na sio mwanamke ambae hajaja ghetto.
IPO namna ya kutuma nauli ambayo uki I apply mwanamke lazima aje ghetto.
( HAPA NAMZUNGUMZIA MWANAMKE AMBAE NDIO ANAKUJA GHETTO KWAKO KWA MARA YA KWANZA. )
Kabla sija elezea mbinu hiyo ngoja Nianze kuelezea makosa wayafanyayo wanaume katika kutuma nauli.
KOSA LA KWANZA: kutuma nauli kamili.
Kwa mfano mwanamke anaishi Moro wewe upo Dar. Nauli ya kutoka Dar Hadi Moro Ni sh elfu Saba. Wewe unamtumia sh elfu 9 Na Mia name au elfu Kumi ili atoe elfu Saba kamili. Hapo mwanamke hawezi kuja. Unemtumia Hela ya kununulia Bando. Atakuona kapuku
Ifahamike kuwa mwanamke anaeomba nauli anapo kuomba nauli lengo lake anataka kujua kama una Hela au huna. Wewe kwakuwa lengo lako Ni Kula papuchi unatakiwa kucheza Na akili yake. Muonyeshe kwamba una Hela..( aliwahi kusema Cassanova ukitaka kumtongoza mwanamke usitumie akili yako, tumia akili yake)
Unapo mtumia nauli kamili anajua hapo hamna kitu Na anajua hata akija utakula papuchi Na utaishia kumpa Hela ya Kula.
Ufanye Nini Sasa?
Cheza Na akili yake. Si anasema yupo Morogoro sio? Nauli ya Moro Ni sh elfu Saba sio? Wewe mtumie sh elfu 55 ili atoe elfu 50 kamili.
Hapo utakuwa umeiteka akili yake tayari. Ume Sha confirm kwenye mind yake kwamba una Hela. Usisahau mwanamke huwa anafanya maamuzi Kwa kutumia hisia Na sio reasoning.
KOSA LA PILI: Kumpigia simu baada ya kumtumia Hela ili kumuuliza kama ame Iona Hela.
Come on man, si umetuma mwenyewe kwenye simu yako? Kwani simu yako haionyeshi kama Hela ameisha ipokea? Au kama umetuma Kwa wakala, wakala si amesha kwambia kwamba Pesa imefika. Wewe swali la kumuuliza Ni " nikutumie Pesa kwenye namba ipi?" Akikujibu muulize itatoa Jina Gani full stop. After that wewe fanya muamala Kisha kaa kimya. May be u can tell her nakutumia nauli Sasa hivi... Hapo utakuwa ume mchanganya Zaidi, atazidi kuamini wewe una Hela Kwa Sababu unemtumia Hela nyingi Na Wala hujampigia simu kumuuliza kama kapata.
Ukitaka kumchanganya Zaidi, akisha pokea Pesa then akakupigia, usipokeee, after 3 missed call or something mtext mwambie upo busy kidogo utamjulisha ukiwa free.. hapo mkuu utakuwa umeiteka akili yake chini ya MIGUU yako.
KOSA LA TATU: Kupiga simu Na kumuuliza atakuja gheto SAA ngapi au lini? Come on man bro, mlisha kubaliana kabla ya kumtumia Hela Sonu don't need to remind her again ukifanya hivyo utaonyesha ur desperate . Usimuonyeshe kwamba una usongo nae Sana..
Subiri yeye mwenyewe atakupigia kumwambia anakuja..
Kwanini hawezi kuacha kuja ukimfanyia hivyo?
Kwa Sababu anajua akifanya hivyo atakuwa amepiga teke gunia la Hela. Kwa jinsi ulivyo mteat ATA Amini wewe Ni mwanaume ambae una access Na wanawake wengi Na unaweza kumpata mwanamke yoyote unae mtaka wakati wowote Na atajiona mwenye Bahati kukutana Na MTU kama wewe. Hapo atakuwa anapiga hesabu za mizinga ya baadae mikubwa mikubwa..
Anyways kutuma nauli Ni sacrifice. The law of sacrifice states that the larger the sacrifice the higher the wage
Tumia falsafa ile ile uliyomtongozea wife, kutongoza mwingine mkuu.Mkuu hii approach yako nimeipitisha japokuwa mimi sio mtu wa hizo mambo ila kuna maarifa umenipa bila shaka nitayatumia kwa wife.
Mana wife akiniomba hela nikimtumia nakuwaga na uswahili ambao wewe umeukataza,sasa natumia maarifa yako mkuu.
BTW kuna kitabu chochote kinazungumzia namna ya kumtongoza mwanamke mkuu ?
Nataka niwe kisima cha maarifa
Mambo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka kitabu mkuu.Tumia falsafa ile ile uliyomtongozea wife, kutongoza mwingine mkuu.
Kutana na mwanamke aliyejeruhiwa kisawasawa alafu tumia pesa utakuja kutuletea ushuhudaSio wanawake. Najua kuhusu nguvu ya lugha ya Pesa. Pesa Ni lugha inayo jitegemea. Unaweza kutumia lugha ya Pesa " money language" kucommand akili ya mwanamke ifanye Kile unacho kitaka
Labda hao Ila sio wanawake wenye akili timamuHapa anazungumzia wadangaji
Huo ndiyo uanaume, lakini kwanini mnapenda match za mbali?Juzi nilitudisha muamala.
Dem nimemuuliza nauli Arusha hadi Moro sh.ngap nimtumie kasema hajui...nimemtumia 30k hapohapo kapiga anasema hela itatosha nauli tu hela ya kula atakua hana niongeze...chaaap nikarudisha muamala fala yule alilia sana. Anasema nitume hata hiyohiyo tu then ye atachek kwenye akiba yake hela ya kula nikamwambia HAPANA. NIKIPATA HELA KAMILI NITAKUTUMIA YOTE.
Uko mkoa gani?Sema swala la kuosha rungu ni Mtambuka kama mimi leo toka asubuhi nipo desperate kupata chura ya kwenda saa hivi nipo kwenye mawindo.
Vipo vingi Sana Na waandishi wenye experience ya kutosha kuhusu wanawake.Mkuu hii approach yako nimeipitisha japokuwa mimi sio mtu wa hizo mambo ila kuna maarifa umenipa bila shaka nitayatumia kwa wife.
Mana wife akiniomba hela nikimtumia nakuwaga na uswahili ambao wewe umeukataza,sasa natumia maarifa yako mkuu.
BTW kuna kitabu chochote kinazungumzia namna ya kumtongoza mwanamke mkuu ?
Nataka niwe kisima cha maarifa
Sawa sawaNataka kitabu mkuu.
Mimi sikuwahi kumtongoza mke wangu na sidhani kama nitatongoza mwanamke