spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Nimekuja kuokoa wanaume wenzangu.wewe si uliaga Kwenye Uzi wako kwamba hutakua JF Kwa Muda kama mwaka Hivi kipi kimekurudisha mbio,au
unampango wa kuoa umekuja gawa kadi?
ππππ
wewe tuu unakwama wapi mpaka sasa?Nikupe ya wakala utoe moja kwa moja
wewe tuu unakwama wapi mpaka sasa?
hahahahahahaha daaa Sawa karibu Tena jamvini MkuuNimekuja kuokoa wanaume wenzangu.
Wengi wanaangamia kwenye ndoa.
#YNWA
kwa namba ipi dada?Hebu nitumieni na mie hizo nauli[emoji28][emoji28]
Nitajie vitatuVipo vingi Sana Na waandishi wenye experience ya kutosha kuhusu wanawake.
kwa namba ipi dada?
Usitume nauli usitume nauli nakukumbusha tu Ni msimu wa sikukuu
Kama Tigo sawa upo mkoa gani!Tigo kaka[emoji4]
Vip kwan!?ππππHeee wewe
Akili za kuambiwa changanya na zako [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nikitumia mbinu zako na hela yangu ikaliwa, aloooo!!!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Maombi ya namna hii, MUNGU hawezi kujibu kwasababu ni Upuuzi.Isipokuwa km ni mke wako halali wa ndoa au mchumba anakuja kukuona labda kwa kuwa Unaumwa au Sababu fulani ya muhimu sana."Eeeeeh BABA nimeshatuma nauli kwa JACKY, sababisha JACKY afike salama"View attachment 2045367
Hahaa! Ulimkatili sana aiseeJuzi nilitudisha muamala.
Dem nimemuuliza nauli Arusha hadi Moro sh.ngap nimtumie kasema hajui...nimemtumia 30k hapohapo kapiga anasema hela itatosha nauli tu hela ya kula atakua hana niongeze...chaaap nikarudisha muamala fala yule alilia sana. Anasema nitume hata hiyohiyo tu then ye atachek kwenye akiba yake hela ya kula nikamwambia HAPANA. NIKIPATA HELA KAMILI NITAKUTUMIA YOTE.
Solution labda kuoa tu aisee au utume nauli kwa manzi unayepajua kwake na usharuka naye mara kadhaa [emoji23]Katika swala la kutuma nauli hakuna mbinu iliyo salama. Kama hivi unavyofundiaha wewe mbinu za kutuma nauli basi tambua hata hao wanawake nao wanafundishana mbinu mpya za kula nauli.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Vip kwan!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]