Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

Juzi nilitudisha muamala.

Dem nimemuuliza nauli Arusha hadi Moro sh.ngap nimtumie kasema hajui...nimemtumia 30k hapohapo kapiga anasema hela itatosha nauli tu hela ya kula atakua hana niongeze...chaaap nikarudisha muamala fala yule alilia sana. Anasema nitume hata hiyohiyo tu then ye atachek kwenye akiba yake hela ya kula nikamwambia HAPANA. NIKIPATA HELA KAMILI NITAKUTUMIA YOTE.
Hahaa! Ulimkatili sana aisee
 
Katika swala la kutuma nauli hakuna mbinu iliyo salama. Kama hivi unavyofundiaha wewe mbinu za kutuma nauli basi tambua hata hao wanawake nao wanafundishana mbinu mpya za kula nauli.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Solution labda kuoa tu aisee au utume nauli kwa manzi unayepajua kwake na usharuka naye mara kadhaa [emoji23]

Kutuma nauli ni kubeti tu [emoji23]
 
Back
Top Bottom