Makosa ya Hayati Magufuli hayasahihishiki

Yule mzee hakuwa binadamu wa kawaida nahisi
 
Msukule wa marehemu
 
Kwaiyo magufuli alikuwa na visima vya mafuta?! Maana mafuta yamepanda duniani kote!na hata kipindi chake yalishawai kupanda Mara kibao, Hivi nyie huyo mzee aliwaroga au
 
don't hate the best
 
Nyie ni wapumbavu sana,Stupid thread
Acheni kulaumu laumu Magufuli kafanya kazi kubwa sana nchi hii.
 
mkuu nakuonaga mjanja,kumbe hamna kitu,
Yaani hule unyama wa awamu ya tano, na uminyaji wa Uhuru wa kujieleza ,kuteka watu na upuuzi kibao,we bado unaona yule mzee alikuwa sawa?! Kweli binadamu tuna tofautiana upeo
Ni kweli mzee lazima tutofautiane ila mtu wa kunifanyia maisha magumu kwa makusudi kwangu ni adui namba 1!

Kama unafurahia upuuzi unaoendelea sasahizi nchini hakika utakuwa mtu wa hovyo kuzidi maelezo. Tozo + Inflation + ufisadi wa wazi na hakuna control ya kiongozi ambaye alitakiwa
awe ndio monitor na strategy maker.

Total mess.
 
Kwaiyo magufuli alikuwa na visima vya mafuta?! Maana mafuta yamepanda duniani kote!na hata kipindi chake yalishawai kupanda Mara kibao, Hivi nyie huyo mzee aliwaroga au
Unisome vizuri
 
mkuu nakuonaga mjanja,kumbe hamna kitu,
Yaani hule unyama wa awamu ya tano, na uminyaji wa Uhuru wa kujieleza ,kuteka watu na upuuzi kibao,we bado unaona yule mzee alikuwa sawa?! Kweli binadamu tuna tofautiana upeo
Hivi sasa hivi uhuru uliopo ni wakujieleza kitu gani?

Hizi porojo za sifa?
 
Kasome coment namba 7 ndio ina majibu yako ewe sukule wa mama.
 
Timu iko peke yake uwanjani lakini inashindwa kufunga, kisha inasingizia timu pinzani inayofanya mazoezi uwanja wa jirani kuwa ndiyo inawafanya washindwe kufunga.
Upinzani wa tz ni dhaifu sana!

Fikiria mtu yuko belgiji mwingine canada mwingine ameungana na ccm kuramba asali ili kumkomoa marehemu alafu 2025 utaona wanahaha wakitegemea nao watashinda
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie wenyewe mshaparaganyika...
 
Magufuli hakua na tofauti na baba mwenye utajiri mkubwa anaonekana anajenga mijumba na magari ya kifahari lakini nyumbani watoto wanakufa njaa na kuvimba tumbo kwa lishe duni,
Angeendelea kutawala hadi sasa amini nawaambieni tungemtoa kama wale jamaa wa sirilanka.
Sasa vitu vinapanda bei lkn bei tunakula vizuri, enzi zake vitu bei rahisi lkn hela hamna. MUNGU aliingilia kati kuokoa hili taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…