Makosa ya Hayati Magufuli hayasahihishiki

Wakati wa Magufuli katikati watu walikuwa wakilalamika kuwa hakuna mzunguko wa fedha wa kutosha mtaani huku wengine wakisema Kariakoo fremu nyingine zimekosa watu wengine wakisema fremu hazina hata dalali.

Wengine wakasema hata kiwanja ukitafuta mteja anapatikana kwa pinde.
 
Hao wananchi ni wapi?

Njoo huku mtaani uone!
Kingine alichokosea mtu wenu ni upungufu wake wa mawazo kudhani Sekta binafsi iwe viwanda au biashara ni miradi ya Mafisadi , hii ilikuwa akili ya kiwango cha chini sana !

ALAANIWE YEYOTE ALIYESABABISHA YULE MTU KUWA RAIS , Hakufaa hata kuwa katibu wa kijiji .
 
Kwa hiyo SGR, Bwawa la Nyerere ni baadhi ya makosa ya Magufuli kwa mtazaomo wako? Kwa aina hii ya raia wa Tanzania kwa kweli Magufuli hakupaswa kabisa kuwa Rais wa Tanzania. Nchi hii inabidi iongozwe na mtu mwenye uwezo wa akili na maono unaofanana na raia wa nchi husika ili izidi kuwa shit hole for what it is.
 
Ngoja Eltwege na countrywide waje
 
Kabisa. kwa mfano wa umeme wa maji kule rufiji. Jee tulishamaliza kufanya uwekezaji kwenye mradi wa Gesi ili izalishe umeme?

SGR ipo kwa kuwa iliyopo ilielemewa ama ni kwa kuwa kuna watu wanaona "usasa" na fahari kuwa na SGR?
Kila mtu akiingia madarakani anatafuta mradi wa kupiga
 
Jibu hoja za mleta mada acha kuongea uongo mjibu kwanza Ben saa nane na Azory wanarudije ?
Chacha Wangwe anarudije?

Mwangosi je?

Wale wanachama wenu walilipuliwa na bomu pale soweto?
 
Naamini hata vyombo vya ulinzi na usalama vya taifa letu vinajilaumu kumpa vettings yule chizi na naamini wameapa kosa hilo hawatalirudia tena.
Chizi kwa mujibu wa nyie misukule ya mbowe
 
Huyo jamaa nasikia ni mjane wa pili wa mzee ila hakujumlishwa kwenye mirathi ndio sababu ya hasira zake hizi
 
Huyu ndio alikuwa jizi kuliko Rais yeyote aliyewahi kuongoza Tanzania..

Huyu ndio alikuwa Rais Katili na mkurupukaji kuliko Rais yeyote aliyewahi kuongoza Tanzania.

Huyo alikuwa Rais aliyeharibu uchumi kuliko yeyeote .

Na ndio ameasisi mamiradi ya hasara ya Taifa kwa vizazi na vizazi.
 
Kwa mujibu wa mataahira kama wewe
 
Umepanic[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mnavuna mlichopanda.

Ndio maana Rais anaswma mna akili ndogo
Wenye akili ndogo waliambiwa ni pamoja mama, baba na ukoo wako wote maana si miongoni mwa wanaoramba asali.
 
Kama mliweza kumshtaki mbowe kwa kesi za kimchongo mngeshindwa kumshtaki kwa kifo cha chacha wangwe? Tutoleeni ujinger wenu hapa.
Chacha Wangwe anarudije?

Mwangosi je?

Wale wanachama wenu walilipuliwa na bomu pale soweto?
 
We unamtakia Nini mzee wa watu?? Huna jingine jema lakumzungumzia zaidi ya haya uliyoyaandika hapa??,

Jaribu kutumia huo mda basi kushauri juu yanin kinaweza kufanyika juu yahumo ulimoona Kuna makosa!
 
He is no more, get used to it. Ni kama unateseka, kama alikukosea msamehe, kukaa na chuki itakutesa zaidi.
Wakati huu ni kupambania katiba, piga kelele juu ya mfumko wa bei kwenye bidhaa, bila kusahau wazee wa kula kwa urefu wa kamba zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…