Makundi mbalimbali ya Watanzania wanaoichukia serikali ya Rais Magufuli na kwanini wanaichukia...

I repeat,hata Marekani na Ufarasa wapo watu wengi tu ambao wako ndani for political reasons.Ufaransa siku moja wali round up watu 500 na kuwaweka ndani.Jamani zipo nchi ambazo hazina written constitutions kama Canada,Uingereza na New Zealand.Hizo nazo mtaziitaje?
 
'Areafifty' alibadili 'avatar' akidhani tendo hilo litamwongezea akili kichwani, kumbe ndio anazidi kudidimia kabisa.
Mm,wewe nawe bure kabisa,avatar ina uhusiano gani na quality of your contribution.
 
Kuna watu waliambiwa mahakamani wakamlete huyo JPM... wakashindwa..!!!

Maana JPM inaweza ikawa Juma Pondamali Maharage....
 
Kheee... mimi yangu 1%... Maana si tunatoa tu bila utafiti..!!
Fine,ndivyo unavyo ona wewe,ingawa naamini that is not coming from the bottom of your heart.At the bottom of your heart,you believe he is good.
 
Ngalikihinja,
Nimesema hakuna serikali duniani ambayo ni perfect.Lakini overall he is doing fine.Naomba,ukumbuka kwamba hayuko peke yake serikalini,na wewe ni shahidi jinsi ambavyo analalama juu ya utendaji mbaya wa wasaidizi wake.
 
Wewe huoni uhusiano wake?
Kuna maana gani ya kuweka 'avatar' kama huoni uhusiano na unayoyaamini?
Nimesema "quality" of contribution.On the other hand ni kweli avatar inaweza ku-reflect who you are and what you believe in.
 
Fine,ndivyo unavyo ona wewe,ingawa naamini that is not coming from the bottom of your heart.At the bottom of your heart,you believe he is good.
Hapana... He is not.... UNAJUWA
1. Hana Presidential language... huwezi mwambia mtumishi ...nanukuu... "WANYWE MKOJO WAKO"... mwisho wa kunukuu.... hata mwizi humchukulii sheria mkononi... kuna hatua za kufuata
2. Ana double standard.... Kamtimua Lugola kwa kufanya mambo bila kupitishwa na bunge.... Jiulize, UWANJA WA CHATO ULIPITISHWA NA BUNGE LIPI? UNUNUZI WA NDEGE ULIPITISHWA NA BUNGE GANI? UKUTA WA MERERANI JE?
3. Ndadi ya muda mfupi wa utawala wake, 1.5T hazijulikani ziliko... Mwenzie JK ndani ya miaka kumi, kukiwa na makashfa ya ESCROW, MEREMETA, TANPOWER RESOURCES, RICHMOND... etc zilipotea 783B. Yeye hizo 1.5 T hazina kashfa hata moja...
 
Nimesema "quality" of contribution.Ni kweli avatar inaweza ku-reflect who you are and what you believe in.
Ukikubali hivyo, huwezi tena kukana 'quality'.
Watu watasoma kilichoandikwa na kuitazama ile 'avatar' inayohusishwa na aliyeandika.
 
Nimesema hakuna serikali duniani ambayo ni perfect.Lakini overall he is doing fine.Naomba,ukumbuka kwamba hayuko peke yake serikalini,na wewe ni shahidi jinsi ambavyo analalama juu ya utendaji mbaya wa wasaidizi wake.
Hujajibu hayo maswali.. HAKUNAGA SERIKALI YA ONE MAN SHOW KIONGOZI...
Tatizo kila kitu anajuwa yeye.... Haamini wataalamu, washauri... ndiyo maana tunaishiaga kwenye EXPANSION JOINTS

TULINUNULISHWA SUKARI 1kg kwa Tshs. 5,000/- kisa utemi... Na kwenye korosho, kwa sababu za kitemi, tumekula hasara kubwa sana mwaka jana
1. Maintenance za yale magari ya jeshi
2. Mafuta
3. Posho za wale wanajeshi
4. Wizi wa korosho
5. Wizi wa vipuri vya yale magari
6. Magari yalipinduka sana kule kusini
7. Korosho zilikaa sana magharani kiasi kwamba zilipungua ubora
 
WEZI WATUPU HAO NA BADO! MLIZOEA KUIBA
 
Niambie kitu binafsi ambacho Magufuli kafanya.Kila kitu ambacho Magufuli kafanya is not for personal gain,but for Tanzanians.Mimi sijali kama kafanya Chato,after all he is doing so much for Tanzania.Infact anayofanya Chato is peanuts compared to what he is doing for Tanzanians.

Nimalizie kukumbusha kwamba hakuna serikali duniani ambayo ni perfect,iwe Marekani,Uingereza,Ufaransa nk.nk.System perfect inapatikana Mbinguni tu,ingawa hata huko Shetani alileta za kuleta akafukuzwa,sembuse serikali za wanadamu.
 
Suala ni utaratibu...afanye chato Songea au Mafia... Amemtimua Lugola na sabau mojawapo ni kufanya mambo bila bunge kuhusika... UWE UNAELEWA BASI

Hatuzungumzii kufanya kitu binafsi au la... KWA MTAZAMO HUU HAKUNA HAJA YA KUWA NA TARATIBU AU KATIBA, WALA BUNGE.... Unadhani ukijenga uwanja wa Chato, kwa vile umejenga kwa ajili ya watanzania, BASI HAKUNA HAJA YA KUPITIA BUNGENI?

BY THE WAY, JIULIZE, KWANINI MAMBO MENGINE ANAYAHAMISHIA HUKO AMBAKO CAG HARUHUSIWI KUKAGUA? WHY?

Na zile nyumba zilizouzwa, hakukuwa na some personal gains? Unajuwa akina nani waliuziwa?
 
Nimesema hakuna serikali duniani ambayo ni perfect.Lakini overall he is doing fine.Naomba,ukumbuka kwamba hayuko peke yake serikalini,na wewe ni shahidi jinsi ambavyo analalama juu ya utendaji mbaya wa wasaidizi wake.
The fact KWAMBA hakuna serikali iliyo perfect duniani, HAIMAANISHI BASI UTUTENDEE UBAYA KISA KUNA WANAOCHEMKA HUKOO KWINGINE.... Usisahau huko kwingine kuna ushoga vile vile..!!! NA SISI HATUUTAKI HATA KUUSIKIA...

Teteeni vinavyoeleweka basi....
 
Soma makundi niliyo orodhesha naamini uko huko.Tunaangalia overall performance,sio issues flimsy bwana.Ulalamishi wako ni wa mtu mwenye chuki binafsi na husuda,huna lolote.
 
Soma makundi niliyo orodhesha naamini uko huko.Tunaangalia overall performance,sio issues flimsy bwana.Ulalamishi wako ni wa mtu mwenye chuki binafsi na husuda,huna lolote.
Umeanza kukosa hoja sasa... hujibu unachoulizwa wala kuelezewa...
Yaani wewe kwako 1,5T kupotea unaona ni issue ndogo.... Mwananchi kuuza mbaazi 1kg kwa Tshs 150/- unaona siyo issue...!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…