Makundi mbalimbali ya Watanzania wanaoichukia serikali ya Rais Magufuli na kwanini wanaichukia...

Umeanza kukosa hoja sasa... hujibu unachoulizwa wala kuelezewa...
Yaani wewe kwako 1,5T kupotea unaona ni issue ndogo.... Mwananchi kuuza mbaazi 1kg kwa Tshs 150/- unaona siyo issue...!!!!
Aliyekuambia 1.5 trn.zimepotea ni nani? Hivi mnajua institution ya Urais ninyi na mamlaka yake kamili kweli.Na hivi mnajua kwamba hela zinatoka mfuko mkuu wa hazina na kwenda Ikulu moja kwa moja,na kwamba kazi ya CAG ni auditing tu?Na hivi mnajua pia kwamba Rais ana mamlaka ya kutumia kiasi fulani cha fedha bila idhini ya Bunge?
 
Hivi ile ripoti ya CAG ilisema nini juu ya 1.5T? Kazi ya CAG ni audit na kusema alichokiona kwenye audit yake... Unaposema kazi ya CAG ni audit tu UNAMAANISHA NINI?
 
Hivi ile ripoti ya CAG ilisema nini juu ya 1.5T? Kazi ya CAG ni audit na kusema alichokiona kwenye audit yake... Unaposema kazi ya CAG ni audit tu UNAMAANISHA NINI?
Kwani report imesema hela zimetumika vibaya?Hiyo si ilikuwa querry ambayo ilipaswa kujibiwa.Sasa unajuaje kwamba haijajibiwa?Kwani ni lazima Ofisi ya Rais iseme kila kitu.Watanzania bwana,mnajifanya wajuaaji.
 
Hii kweli, haingii akilini mtu anakosoa na kuponda serikali kwa kila kitu, hamna hata kimoja anachokikubali.
 
Kwani report imesema hela zimetumika vibaya?Hiyo si ilikuwa querry ambayo ilipaswa kujibiwa.Sasa unajuaje kwamba haijajibiwa?Kwani ni lazima Ofisi ya Rais iseme kila kitu.Watanzania bwana,mnajifanya wajuaaji.
ETI KWANI LAZIMA OFISI YA RAIS ISEME KILA KITU... !!!! the best bullshit of the month...... Report imesema fedha hizo hazijulikani zimetumika wapi.....!!! na ipo public....Waingie public wajibu... AKINA POLEPOLE WAKABAKI TU WANAHAHA KUTETEA.. MARA ZANZIBAR MARA SIJUI NINI..!!!

Hivii..!!! Unaposema watanzania tunajifanya wajuaji... wewe wa nchi gani?, ujuwe kuwa na rais naye ni mtanzania..!!! hivyo naye anajifanya mjuwaji? Check kauli zako
 
Vitu vinavyonipa mashaka juu ya Magufuli..

1.chuki ya juu mno dhidi ya upinzan

2.kumzuia CAG asikague baadhi ya taasisi za kiserikali

3.wasiojulikana kuendelea kutokujulikana

4.kupenda na kutengeneza mazingira ya kusifiwa

5.kulitia bunge mfukoni

Hivyo juu vinanifanya nimuangalie kwa jicho lingine kdg, japo ni kama kuna sehemu anataka kutupeleka lakin nikivitafakari hivyo vitu hapo juu nasita kdg

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sababu zenu tulizozichoka na za hovyo ni hizi:

-Eti tunatetea mabeberu
-Eti tulikua mafisadi

Mimi mchimba chimvi lini nilikua fisadi?Lini ninawajua mabeberu?

Pumbavu nyie
 
Mimi sijifanyi mjuaji,Niko rational.Wote hatuwezi kuwa kwenye chungu,kwa hiyo naiacha serikali ifanye kazi yake.Sioni sababu ya kufanya mambo ambayo yataifanya serikali ichukiwe na wananchi inaowaongoza.Mnayofanya ninyi ni uchongashi.Ndio maana nasema mnaangukia kwenye makundi niliyo-yaainisha.
 
Sababu zenu tulizozichoka na za hovyo ni hizi:

-Eti tunatetea mabeberu
-Eti tulikua mafisadi

Mimi mchimba chimvi lini nilikua fisadi?Lini ninawajua mabeberu?

Pumbavu nyie
Najuaje kama wewe ni mchimba chumvi?Na kama ni mchimba chumvi kwa nini umchukie Magufuli,kwani Magufuli kakuzuia kuuza chumvi?Wewe nadhani unaangukia kwenye kundi la nne.
"4.Wafuata upepo wasiokuwa na mawazo yao original,kwa vile hawana ufahamu wa kutosha,kwa hiyo wanadakia kila wazo hata baya,na hivyo kupotosha umma."
 

Kwa kifupi umetangaza kuwa 90% ya Watanzania hawamtaki Magufuli (maana kwa kauli yako mwenyewe umeandika kuwa "si rahisi kutaja makundi yote..."
 
Nimesema hakuna serikali duniani ambayo ni perfect.Lakini overall he is doing fine.Naomba,ukumbuka kwamba hayuko peke yake serikalini,na wewe ni shahidi jinsi ambavyo analalama juu ya utendaji mbaya wa wasaidizi wake.
Porojo tupu. Hoja huambatana na data. Pole sana
 

Unavyowaita Watanzania vibaraka kwasababu wanapenda Demokrasia je wanalipwa kwa kuwa vibaraka maana tuambie ni wapi na sisi tukachukuwe hizo pesa. Ukweli ni kwamba hakuna ushahidi wa Watanzania kulipwa na hao unaowaita mabeberu. Pili Mabeberu ni wapi ? Maana pesa za mikopo ya shule, maji na dawa nyingine tunapata kwa nchi nyingine sasa hao ndiyo mabeberu au maana kuna watu wanatumia vijina vya kijinga hata wenyewe hawajui mabeberu ni nani. Kibaya zaidi hata mkirudia mara 1000 mnapoteza muda Watanzania sio wajinga hivyo kila kitu kipo kwenye mitandao hamuwezi kudanganya Watanzania tena. Hawa Watanza Walioingia mikataba mibaya ni chadema.
 
Acha hizo wewe,wanalipwa na tunajua.Kama hujui ni we we.Kwani Kabendera alikuwa halipwi na Rothschild.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…