Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

Hao watu wanaona maisha wameyapatia sana na mwanajeshi anamuona mtu hasiye mwanajeshi ni boya na hakuna tusi kubwa kwa mwanajeshi umwambie yeye ni RAIA na pia JW wanawaita polisi ni RAIA WAKAKAVU.
Mzee wangu kastaafu long sana ila hili "RAIA" analitumia sana kwa watu kama kejeli
 
Wenye magemu ya fifa au pes kwenye pc zao.
Wachezaji wa mpira wa mchangani

Wenye mademu wengi

Bila kusahau waliowahi kwenda Dar vipindi vya likizo mashuleni, au walioenda kutafuta maisha na kuamua kurudi mikoani baada ya mambo kubuma

Hawa wenye magemu umewasingizia aisee
 
Wanawaje wenye shape na matako makubwa, hata kama vichwani mwao hakuna kitu. Wanahisi matako yao ni passport ya kuingia peponi.
 
Wamiliki wa iPhone bana. Wanagoogle signs and symptoms na kuanza kubishana na daktari kwa sababu kaona mezani unatumia tecno.Unapigwa bonge la mcharazo nenda kapime choo.
 
UKISOMA HII TOPIC NA MICHANGO YAKE NDIO UTAJUA AKILI ZA WATANZANI WENGI.

UTAONA JINSI WATU WALIVYO BUSY KUCHUNGUZA MAISHA YA WATU NA KUANZA KUWA-JUDGE.

WATANZANIA WENGI WAMEJAA WIVU, MAJUNGU NA UCHUNGUU MWINGI NDANI YA MIOYO YAO.

MFANO, MTU AKINUNUA VITZ AU IST WEWE ANAKUKERA NINI?
 
ila haya maisha hayapo fair aise.
unaishi kwenye kakibanda kako pugu kajiungeni, halafu kazini kwako ni tegeta na unaenda na kurudi kwa daladala.
[emoji16][emoji16][emoji16]

Wengi wanapokosea ni hapo. Kushindwa kupangilia ukaribu wa makazi yao na sehemu wanapofanyia kazi. Ila ndiyo hivyo, kwa sasa bei za nyumba za Tegeta wataziweza?

Sina tatizo au dharau kabisa na mtu kupanda daladala. Tena kuna wakati inaweza kuwa a smart choice.
 
Hawa tuwaweke kundi gani?
 

Attachments

  • IMG_8433.JPG
    53.7 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…