Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Nadhani hapo kigumu ni kujengaNyie ongeeni weee ILA
Nikioa na Nikijenga Nyumba
Hao vijana watakua na afadhali maana
ntanata kuliko GUNDI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hapo kigumu ni kujengaNyie ongeeni weee ILA
Nikioa na Nikijenga Nyumba
Hao vijana watakua na afadhali maana
ntanata kuliko GUNDI
Ha ha ha. Mie hadi nilifuta Twitter. Hao mabroo ndo kama sebuleni kwao humo. Ukiwa na pesa hata kama unaongea pumba utasikilizwa tu.Kuna hawa wakujiita mabroo wa twitter
Mzee wangu kastaafu long sana ila hili "RAIA" analitumia sana kwa watu kama kejeliHao watu wanaona maisha wameyapatia sana na mwanajeshi anamuona mtu hasiye mwanajeshi ni boya na hakuna tusi kubwa kwa mwanajeshi umwambie yeye ni RAIA na pia JW wanawaita polisi ni RAIA WAKAKAVU.
Ni watu tu na hulka zao wanaamua, mbona mimi niko marekani lakini sisemi na hakuna anayejua?Kuhusu Marekani siwezi kujizuia kujiona nimeyapatia maisha. Asikudanganye maelfu kwa maelfu ya watu duaniani wanatamani waje USA
Hahaaa wanazifanyia nini??Wale mabroo wanaoenda na lap top night club.
Bongo degree haina ishu. Makalio ni zaidi ya PHD[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wenye magemu ya fifa au pes kwenye pc zao.
Wachezaji wa mpira wa mchangani
Wenye mademu wengi
Bila kusahau waliowahi kwenda Dar vipindi vya likizo mashuleni, au walioenda kutafuta maisha na kuamua kurudi mikoani baada ya mambo kubuma
- Wanaojua kuzungumza Kiingereza hata kama wanazungumza Kiingereza "broken". Wote ni mashahidi, hawa hata hapa JF wapo. Siku zote hujihisi wao ni bora na maisha wameyapatia.
- Wanaomiliki matoleo mbalimbali ya simu za iPhone. Siongezi neno kuhusu kundi hili.
- Waliochukua mchepuko wa masomo ya sayansi walipokuwa sekondari na baadaye wakaenda vyuo vikuu kusomea kozi mbalimbali za uhandisi. Hawa hata ukiwakuta mtaani bila ajira, by default wanajihisi tayari wameyapatia maisha.
- Wenye followers kuanzia elfu 20, 30, 40 au zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Hili ni kundi ambalo linajihisi limeyapatia sana maisha kwa kuwa na followers wengi. Wanafollow mastaa tu. kma wewe sio star usitegemee kama atakufollow back.
- Wahitimu vijana wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Siongezi neno kuhusu kundi hili.
- Vijana wa kitanzania ambao kwa wakati fulani waliwahi kuishi Marekani au Uingereza halafu kwa sasa wamerudi bongo kupambana na msoto wa maisha.
- Wanaomiliki gari jamii ya Vitz, IST na Altezza. Jeuri na mikwara yao barabarani inatupa picha halisi.
- Wanajeshi vijana miezi yao kwanza kwenye ajira jeshini halafu uwakute uraiani wamevaa zile gwanda zao.
Ongezea wengine unaowajua.
Karibuni.
ila haya maisha hayapo fair aise.Baada ya kuyajua maisha jinsi yalivyo, yoyote aliyejenga nyumba kwa kutumia hela halali namuheshimu sana.
Ndio wale wanaitana 'mpwa' kule twitter au sio?Kuna hawa wakujiita mabroo wa twitter
- Wanaojua kuzungumza Kiingereza hata kama wanazungumza Kiingereza "broken". Wote ni mashahidi, hawa hata hapa JF wapo. Siku zote hujihisi wao ni bora na maisha wameyapatia.
- Wanaomiliki matoleo mbalimbali ya simu za iPhone. Siongezi neno kuhusu kundi hili.
- Waliochukua mchepuko wa masomo ya sayansi walipokuwa sekondari na baadaye wakaenda vyuo vikuu kusomea kozi mbalimbali za uhandisi. Hawa hata ukiwakuta mtaani bila ajira, by default wanajihisi tayari wameyapatia maisha.
- Wenye followers kuanzia elfu 20, 30, 40 au zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Hili ni kundi ambalo linajihisi limeyapatia sana maisha kwa kuwa na followers wengi. Wanafollow mastaa tu. kma wewe sio star usitegemee kama atakufollow back.
- Wahitimu vijana wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Siongezi neno kuhusu kundi hili.
- Vijana wa kitanzania ambao kwa wakati fulani waliwahi kuishi Marekani au Uingereza halafu kwa sasa wamerudi bongo kupambana na msoto wa maisha.
- Wanaomiliki gari jamii ya Vitz, IST na Altezza. Jeuri na mikwara yao barabarani inatupa picha halisi.
- Wanajeshi vijana miezi yao kwanza kwenye ajira jeshini halafu uwakute uraiani wamevaa zile gwanda zao.
Ongezea wengine unaowajua.
Karibuni.
ila haya maisha hayapo fair aise.
unaishi kwenye kakibanda kako pugu kajiungeni, halafu kazini kwako ni tegeta na unaenda na kurudi kwa daladala.
[emoji16][emoji16][emoji16]