Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiongopee tu kwanza hatuna stress na hela zetu hazina mambo mengi,Hamna lolote kula kulala ninyi.
Sio wauza kashata hizi ni hadithi za vijiwe vya watoto wa form 2 na 3Tena kijiwe chenyewe wauza kahawa na kashata na kunakuwaga na uongo mwingi.
Sample questions.Huwezi kudanganya hapa mkuu. Sana kama hujui haya mambo ungekuja na Uzi ukauliza ili tukueleweshe. Naongea hivo nina facts na reasons maana by professional ni Dr wa binadamu na pia mwanasaikolojia. Nafahamu mengi kuhusu haya mambo. Futa Uzi wako LA sivyo badili liwe swali tukueleweshe. Unasema umefanya utafiti ebu nipe tool na sample pamoja na locations ulizofanyia ukija na data analysis and evaluation hadi kupata na Ku conclude hii tafiti uchwara yako.
aaaahhhhaaaaaaaaWala vipi chips mbona kwenye list hatupo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe umenielewa Sana Sana. Stamina stamina satamina na uwezo wa kurudia mara kwa mara.Hujamuelewa mleta mada!Mleta mada anazungumzia ule uwezo wa kudumu kwenye tendo at least kwa muda unaotakiwa.Mfano mimi nikiiona tu papuchi huwa namwaga hapahapo,je hii ni sahihi?Hili siyo tatizo la kukosa mazoezi?
HapanaRafiki nikutafutie dili la mwanajeshi?
JF kuna tafiti za ajabu sana.Kwahiyo ukiwa mbeba mizigo mizito
Au ukiwa mwanajeshi tayari unakuwa umesha yajua mapenzi ... Aisee unahitaji kupewa darasa Kubwa Sana [emoji3]
Mkuu una majibu makali sana [emoji23][emoji23]Hawa wote wamekupitia ukathibitisha?..
Mbona wake wa wanajeshi wanachepuka?
Hahahahaha fala kweli wewe haya bhana, naona leo mmepata free umetoroka skuli uko mtaani na simu ulioacha kwa ndugu yako, nafahamu kukuona tena hadi weekend ijayo.Sample questions.
Ni mwanaume gani amewahi kukuridhisha kitandani?
Ni mwanaume gani unamkubuka Sana ktk suala la mahusiano?
Ni mwanaume gani hujuti kuwa naye kimahusiano bila kuzingatia pesa?
Locations and Areas.
Dar, Dodoma, Arusha and Mwanza cities.
Na vijiji baadhi, sitavitaja hapa.
Some urban centres.
People.
Bar maids, mademu wa vyuo, mitaani, wake za watu na wanawake wakubwa wasiokuwepo ktk ndoa.
Research duration.
Three months: From June to September 2019.
duuuuh,pole sanaHujamuelewa mleta mada!Mleta mada anazungumzia ule uwezo wa kudumu kwenye tendo at least kwa muda unaotakiwa.Mfano mimi huwa nikiiona tu papuchi huwa namwaga hapahapo,je hii ni sahihi?Hili siyo tatizo la kukosa mazoezi?
Wewe ni dume au jike au kama SexlessNisipoteze muda.
Wanaume wanaongoza kwa kuwa na stamina kubwa kitandani na kuridhisha wapenzi wao wapo sita. Unaweza kuongeza wa kwako. Wanaume hao ni
1. Makuli/Wapagazi: Demu wako au mkeo akikutana na kuli, walahi hamwachi, andika maumimivu. Makuli ni Wanaume wabeba mizigo.
2. Wanajeshi: Hawa Wana mazoezi mengi mno. Akimkamata mwanamke, basi mwanamke ataomba poo.
3. Wanamichezo: Mpira wa miguu, riadha, volleyball, basketball, waogeleaji, boxing nk
4. Wanamuziki: Sio ule Muzuki wa kisharobaro Mtu anaimba na kucheza mara moja kwa wiki. Namaanisha mtu acheze shoo ya muziki kila siku walau nusu saa au saa moja na kumwaga jasho jingi. Hawa kitandani ni balaaahh.
5. Watu wa mazoezi mbalimbali: Push-up, kichurachura, jogging, nk.
6 . Wakulima: Hawa hufanya shughuli nyingi za shamba na kushughulisha viungo vyote kuanzia unyayo hadi utosi. Hawa wakimkamata mwanamke utasikia uuuuuuiiiiiiiii, unaiuuuaaahhh. Ndoa zao ni imara Sana Sana.
Mbona Bodaboda tuna case nyingi za wake za watu?Nisipoteze muda.

Mbona wanitusiHahahahaha fala kweli wewe haya bhana, naona leo mmepata free umetoroka skuli uko mtaani na simu ulioacha kwa ndugu yako, nafahamu kukuona tena hadi weekend ijayo.
Kivipi MkuuMbona Bodaboda tuna case nyingi za wake za watu?