digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu Wewe humo kwa bichwa lako Kuna tope au?,Mambo mangapi huanzie jf na baadae gvt inayafanyia utekelezaji?Badala ya kumuona HR wa ofisini kwako unakuja JF .hapa JF nani anaweza kukusaidia kuondoa hiyo kadhia?
Huenda shida ni hazina wenyewe na sio BodiIts true, salary slip za mwezi huu zina shida, mie kwangu wamekata pesa ila deni limepungua kwa sh 15, na take home imebaki ile ile.
Bila shaka watakuwa hazina sabu wao ndo wanahusika na makato na malipoHapa shida ni hazina au bodi?
Bila shaka watakuwa hazina sabu wao ndo wanahusika na makato na malipo
Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
Salary slip Kuna shida, baada ya kukuona uzi huu, deni la mwezi Mei na juni tofauti ni Sh.19 tu, licha ya salary slip kuonesha nimekatwa kama kawaida.Inshort mwezi huu nimekatwa sh.19 na takehome imebaki ileile kama ya mwezi Mei.Hivi Hazina imehamia Dodoma au ipo Dar?
Hazina si ndo walipaji mkuu au kunawengine?Umejuaje mkuu.???
Ndo hivyo,Hawa inabidi wapigiwe kelele kama mwaka jana sikoseiSasa endapo hawatorekebisha salary slip bodi si ndo atakaefadika...?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo deni, bodi ni as if hawataki liishe. Hata ukimaliza kulipa na ukapewa barua ya kumaliza kulipa, siku moja ukijifanya kwenda kucheki tena unashangaa unadaiwa mamilioni. [emoji16]
Labda watarekebishaYaani wanakata hela ilele ila unakuta deni limepungua kwa sh 15[emoji2297][emoji2297]
Hiyo ni pesa brother.Punguza munkali kwanza