Malalamiko ya wananchi dhidi ya January Makamba na Nape Nnauye ni maneno maneno tu waendelee kumiza wananchi? Hivi hii ni sawa kweli jamani?

Malalamiko ya wananchi dhidi ya January Makamba na Nape Nnauye ni maneno maneno tu waendelee kumiza wananchi? Hivi hii ni sawa kweli jamani?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi?

Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov 2021. January kwa makusudi akaleta mizengwe. Lilikuwa likamikike June mwaka huu na kusaidia wananchi kupunguza gharama za maisha. Lakini ndio hivyo tena.

Huyu anaijanasibu kuwa hili taifa ni mali ya wazazi wake kisa tu wazazi wake walikuwa ni waasisi wa CCM anatumia helkopta ya jeshi kuzurula hovyo kuandika vibao vya mitaa. Mkuu wa nchi anaona sawa. Hizo gharama anazotumia si zingenjenga vyoo vya shule huko vijini ambako watoto wanahangaika?

Mawazili kama wanakwamisha maendeleo ya wananchi alafu rais anatamka wazi kuwa ni vijimaneno na wachape kazi tu.

Tutapigwa na vitu vizito kichwani mpaka lini?
 
Uelewa wako ni mdogo hususan ktk kuchanganua aina ya usafiri wa helkopta na utekelezaji wa mradi wa anuani za makazi. Jielimishe zaidi kuhusu mambo haya.
 
Tatizo kubwa la Tanzania hoja nyingi zinajengwa kea CHUKI na Maslahi, na kibaya zaidi zinajengwa na watu wapumbavu ambao wanazungumziad vidubwana vidogo ambavyo hawavjui
 
Hakuna ushahidi wa wazi wala wa kifocho unaoonyesha hujuma, ufisadi wala uzembe wa Nape na Makamba.
 
Chato Dynasty walitarajia madolari ya Stiglers yawape nguvu ya kuongezea kipindi Cha Urais au kumsaidia mgombea wao.

Sasa hapo wakandarasi wanachambuliwa kama karanga. Kayafa katika Kila wizara muhimu yenye matrilioni, aliweka mpokea bahasha wake, pale aliweka kale kajamaa kafupi ambako Samia amekafurusha
 
Uelewa wako ni mdogo hususan ktk kuchanganua aina ya usafiri wa helkopta na utekelezaji wa mradi wa anuani za makazi. Jielimishe zaidi kuhusu mambo haya.
unamfunga mdomo au unamuelewesha? wewe kama sio Mwalimu wa nidhamu basi nyapara wa makuruta!
truth is objective!!
kuna hoja ameijenga! wengine mbona kama tushavutiwa hivi!!
 
Tatizo kubwa la Tanzania hoja nyingi zinajengwa kea CHUKI na Maslahi, na kibaya zaidi zinajengwa na watu wapumbavu ambao wanazungumziad vidubwana vidogo ambavyo hawavjui
Ukiona mjuzi anakata kiuno tambua maumivu yamempata
 
Back
Top Bottom