Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi?
Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov 2021. January kwa makusudi akaleta mizengwe. Lilikuwa likamikike June mwaka huu na kusaidia wananchi kupunguza gharama za maisha. Lakini ndio hivyo tena.
Huyu anaijanasibu kuwa hili taifa ni mali ya wazazi wake kisa tu wazazi wake walikuwa ni waasisi wa CCM anatumia helkopta ya jeshi kuzurula hovyo kuandika vibao vya mitaa. Mkuu wa nchi anaona sawa. Hizo gharama anazotumia si zingenjenga vyoo vya shule huko vijini ambako watoto wanahangaika?
Mawazili kama wanakwamisha maendeleo ya wananchi alafu rais anatamka wazi kuwa ni vijimaneno na wachape kazi tu.
Tutapigwa na vitu vizito kichwani mpaka lini?