Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Angekuwa Mchagga msingemsema hivyo.Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii
Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani.
Hivyo Leo ulikuwa ni kuhitimisha na kwaeleza wafuasi wake kuwa yupo pale kuhubiri mambo ya ccm.
Kwa hizi tabia Romani katoliki wataendelea kujivunia wafuasi wengi sana maana wana msimamo thabiti.View attachment 2878699
Acha Wenge please, kuwa CHADEMA means anasimama kwenye hakiMstaafu Askofu Dr Shoo Yeye ni Chadema
Askofu ana haki binafsi ya kuelezea msimamo wake wa kisiasa, lakini msimamo wake si kwa niaba ya KKKT.Vinginevyo, kwa wadhifa au uongozi alionao atashindwa kutoa angalizo kwa Serikali inapotenda yasiyo haki. Binafsi mimi nilishtuka siku moja JPM akiwa Rais, Askofu alimsimamisha Makonda asalimie waumini Kanisani pale Azania. Ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwangu kulazimishwa kumsikiliza Makonda.Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii
Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani.
Hivyo Leo ulikuwa ni kuhitimisha na kwaeleza wafuasi wake kuwa yupo pale kuhubiri mambo ya ccm.
Kwa hizi tabia Romani katoliki wataendelea kujivunia wafuasi wengi sana maana wana msimamo thabiti.View attachment 2878699
YUDA ISKARIOTE soon atajinyonga ...!!!!!Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii
Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani.
Hivyo Leo ulikuwa ni kuhitimisha na kwaeleza wafuasi wake kuwa yupo pale kuhubiri mambo ya ccm.
Kwa hizi tabia Romani katoliki wataendelea kujivunia wafuasi wengi sana maana wana msimamo thabiti.View attachment 2878699
Umevurugwa wewe na ugumu wa maisha.Amani ya Nchi ni pamoja na Imani thabiti yenye hofu ya Mungu.
Kiongozi wa Dini anaposema kuwa hayuko kinyume na Serikali tafsiri yake ni pana.
Wengi tunadhani kuwa Serikali ni Executive/Taasisi ya Urais,Mahakama na Vyombo ya Ulinzi na Usalama tukasahau kuwa Amani na Utulivu msingi wake ni Imani za Dini.
Taasisi za Dini ni kioo cha Viongozi wa Serikali kujitazama kwa kuwa na wao ni sehemu ya jamii inayohitaji Amani na Utulivu,kusema wako upande wa Serikali ni kujiweka karibu kutibu matatizo yanayowakabili wenyeNchi.
Huyu ni mhuni tu kama walivyo wanaccm wote
Malasusa kipindi hicho alikuwa na kashifa ya kununuliwa gari na Makonda,Askofu ana haki binafsi ya kuelezea msimamo wake wa kisiasa, lakini msimamo wake si kwa niaba ya KKKT.Vinginevyo, kwa wadhifa au uongozi alionao atashindwa kutoa angalizo kwa Serikali inapotenda yasiyo haki. Binafsi mimi nilishtuka siku moja JPM akiwa Rais, Askofu alimsimamisha Makonda asalimie waumini Kanisani pale Azania. Ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwangu kulazimishwa kumsikiliza Makonda. Niliishiwa nguvu mwilini. Kilichonishangaza ni kama kweli Askofu alikuwa hana taarifa za usanii, ubambikizaji makosa watu, ukiukaji wa sheria wa wakati huo, mambo ambayo kijana huyu alikuwa anayafanya hadharani lakini akampa heshima ya kuitwa mbele ya Kanisa ambayo kwangu ilikuwa kama kumsafisha au kuunga mkono mambo ambayo kijana huyu alikuwa anayafanya kinyume kabisa na maadili ya Ukuu wa Mkoa. Hayo ndiyo Askofu itabidi atenganishe kati ya utashi wake binafsi na Kanisa! Hadithi ya Askofu Shoo kuwe mbwa mzee inabidi ajifunze michezo mipya ndiyo kama hiyo. Vinginevyo ninamwombea Baba Askofu Malasusa uongozi mzuri uliotukuka.
Ugumu wa Maisha ni kipimo Cha Akili.Umevurugwa wewe na ugumu wa maisha.
Tazameni wenzenu wa roman Catholic wanavyo simama na wananchi kwa kukemea serikali
Malasuso mpuuzi kabisaKazi ya Mungu ndo kusapoti siasa za CHADEMA? Acheni upuuzi wa kumhusisha Mungu na siasa zenu za majitaka. Mpinzani wenu ni CCM sio KKKT
Mkuu hapo ulipo nani kakushikia bunduki ili uwe Chadema, acha uongo, kimsingi wewe ndiye unaye hubiri na kueneza uongo na chuki.Chadema ni mtambo wa Chuki nchini Tanzania!
Imejaa watu wenye kulazimisha jamii yote iwakubali.
Kwa hiyo hii ni CHAGGA-DOMO!
Mkuu ni vitu vingapi Mwenyekiti wa CCM Kawapa watu mbali mbali zikiwemo taasisi za dini? Waliopewa naye wazirudishe?mwabie askofu shoo arudishe vx8 alilopewa na chadema kwa mgongo wa chairman Taifa
Kama ajuza anavyolazimisha iandaliwe fomu Moja au Sio!?Chadema ni mtambo wa Chuki nchini Tanzania!
Imejaa watu wenye kulazimisha jamii yote iwakubali.
Kwa hiyo hii ni CHAGGA-DOMO!
Fanyeni maandamano dhidi ya Askofu. Wajinga wakubwa mtu asipokubaliana na ujinga wenu lazima mmtukane na kumkejeli.Hatutakubali KKKT iendelelee kudhalilishwa