MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Wewe jamaa sikuelewagi aisee,
Juzi kati hapa ulikua ukilalamikia bodi ya mikop HESLB, leo uko Kenya!!!
Bro utakua unanifananisha, nitafute nini kwenye bodi ya mikopo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa sikuelewagi aisee,
Juzi kati hapa ulikua ukilalamikia bodi ya mikop HESLB, leo uko Kenya!!!
POST yangu ya asubuhi niliandika Tanzania hatufikii hata robo ya siasa za Malawi, mahakama leo imetengua ushindi wa Rais hivyo uchaguzi kufanyika ndani ya siku 150 toka leo.
afadhali hongera prophet BUSHIRI alisema huyo raisi ataondoka tu
Nchi maskini ya kutupwa kazi kupoteza pesa kwenye uchaguzi.. Demokrasia imefeli hii imethibitka time and again.
Hivi kipimo cha demokrasia ni ufutwaji wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu?
Hicho ndio kipimo pekee cha uhuru wa mahakama?
Mahakama za tanzania ni ujanja ujanja tu,,,hakuna haki..zinaongozwa na serikali ya maccm,ndio shida..nchi zingine mfumo wa mahakama unajitegemea kimaamuzi,
Tz mazingaombwe ebu angalia chaguzi serikali za mitaa yaani mpaka unajiuliza kama kweli sisi Tanzania ni watu kweli au misukule?! Hakuna cha mahakama, bunge, tume au hata serikali wote utazani miroboti imekuwa programmed kufanya ujinga jinga yaani taabu tu!!Mahakama za tanzania ni ujanja ujanja tu,,,hakuna haki..zinaongozwa na serikali ya maccm,ndio shida..nchi zingine mfumo wa mahakama unajitegemea kimaamuzi,
Ila sio kwa T; T is constant!Kidogo kidogo "Waafrika tunakuwa sio tulivyo"
Kwa hiyo kwako ni heri kunyamazia ujambazi wa kura? Hilo litapunguza umaskini?
Sent using Jamii Forums mobile app